figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
AJALI HAINA KINGAWenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo...
ndugu ushasema tz. tz na mambo mazuri wapi na wapi?Wenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo.
Mara nyingi Tanzania sehemu zenye kona wanawka mawe au vyuma(Guardrail).
Kwanini tusiweke Mchanga maalumu wa kuzuia ajali, uharibifu na vifo?
Tujenge barabara salama.
View attachment 2945249
Sie tusioweza hata kuzalisha sukari ya kutosha! Tujilishe kwanza!Wenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo.
Mara nyingi Tanzania sehemu zenye kona wanawka mawe au vyuma(Guardrail).
Kwanini tusiweke Mchanga maalumu wa kuzuia ajali, uharibifu na vifo?
Tujenge barabara salama.
View attachment 2945249
Ajali ina kinga. Wazee wetu hapa walichemka vibaya sana.AJALI HAINA KINGA
ajali haina kinga msemo unaoakisi ufinyu wa akili na udumavu wa kutafuta suluhu.Ajali ina kinga. Wazee wetu hapa walichemka vibaya sana.
KIBONGO BONGO SASA UNADHANI INA KINGA?Ajali ina kinga. Wazee wetu hapa walichemka vibaya sana.
Kibongo bongo haina, tena inapangwa na ''mungu''.KIBONGO BONGO SASA UNADHANI INA KINGA?
Jaribu kuangalia miundombinu yetu, madereva wetu na vyombo vyetu vya usafiri halafu unipe jibu
SIKU IKIFIKA IMEFIKA TU, HATA UJIKINGE VIPIKibongo bongo haina, tena inapangwa na ''mungu''.
SIKU IKIFIKA IMEFIKA TU, HATA UJIKINGE VIPI
HAYA MFANO AJALI ZINAZOSABABISHWA NA MAJANGA YA ASILI (upepo mkali kimbunga, radi, mafuriko, volcano) UNAZUIAJE?
Kwa hiyo mnashauri tuache kuchukua tahadhari yoyote katika maisha?Labda niseme kitu omba mungu ajali isitokee maana hata pangewekwa magodoro ajali ni ajali tuu. We hao wasikudanganye mbona akina paul walker walikufa kwenye ajali pia
sio kwamba nasema tusichukue tahadhari, no... tahadhari muhimu ila kuna ajali nyingine hazikwepekiKwa hiyo mnashauri tuache kuchukua tahadhari yoyote katika maisha?
Mwongozo tafadhali.
Anyways, namshukuru sana Dkt. Sa100 kwa kuwa na nchi yenye watu walio na maono kama haya yenye tija kwa umma!
Safi Sana hiyo kuweka MchangaWenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo.
Mara nyingi Tanzania sehemu zenye kona wanawka mawe au vyuma(Guardrail).
Kwanini tusiweke Mchanga maalumu wa kuzuia ajali, uharibifu na vifo?
Tujenge barabara salama.
View attachment 2945249
Bongo ukiweka huo mchanga utajuta kwani madereva wa hapa wanavyopenda sifa watapageuza uwaja wa show off huku wakishindana nani zaidi.Wenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo.
Mara nyingi Tanzania sehemu zenye kona wanawka mawe au vyuma(Guardrail).
Kwanini tusiweke Mchanga maalumu wa kuzuia ajali, uharibifu na vifo?
Tujenge barabara salama.
View attachment 2945249
Itaanza kesho kutumia.Wenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo.
Mara nyingi Tanzania sehemu zenye kona wanawka mawe au vyuma(Guardrail).
Kwanini tusiweke Mchanga maalumu wa kuzuia ajali, uharibifu na vifo?
Tujenge barabara salama.
View attachment 2945249