Sie tuna nguzo za umeme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sie tuna nguzo za umeme
Lakini angalau ajali zingine zinezuilikaLabda niseme kitu omba mungu ajali isitokee maana hata pangewekwa magodoro ajali ni ajali tuu. We hao wasikudanganye mbona akina paul walker walikufa kwenye ajali pia
Bado sana, viongozi wa CCM hawajatosheka kuibaWenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo.
Mara nyingi Tanzania sehemu zenye kona wanawka mawe au vyuma(Guardrail).
Kwanini tusiweke Mchanga maalumu wa kuzuia ajali, uharibifu na vifo?
Tujenge barabara salama.
View attachment 2945249
Runaway Truck Ramp ilivyo msave dereva. Asingepona..
View attachment 2946125