Lini Tanzania itaanza kutumia hii teknolojia ya kuzuia ajali?

Pale mlima kolo kondoa walijaribu kuweka kitu kama hicho ila hawajaeka mchanga kwa ajili ya kukamata gari, nadhan bajeti ilikuwa finyu ila idea hiyo ipo.
 
Labda niseme kitu omba mungu ajali isitokee maana hata pangewekwa magodoro ajali ni ajali tuu. We hao wasikudanganye mbona akina paul walker walikufa kwenye ajali pia
Lakini angalau ajali zingine zinezuilika
 
Angalia hii Runaway Truck Ramp ilivyo msaidia dereva
Your browser is not able to display this video.
 
Bado sana, viongozi wa CCM hawajatosheka kuiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…