Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Mafanikio ya kulipia huduma za afya bila kupata dawa? Shule kukosa madarasa? Kuchangisha michango ya ujenzi wa shule huku mnajenga madaraja yasiyo na tijaAkili yako nyembamba, huwezi kuona mafanikio kama nchi watanzania tuliyoyapata chini ya awamu ya tano! Na wala sintapoteza muda kujaribu kumuelewesha mpumbafu!
Tumia akili hata kiduchu.Nini wewee. Mtaji wako ni nguvu zako mwenyewe
Tulia kisu kiguse mfupa.Mwaka huu utahangaika sana na ban juu
Nilishasema sina muda wa kupoteza kujaribu kumuelewesha !Mafanikio ya kulipia huduma za afya bila kupata dawa? Shule kukosa madarasa? Kuchangisha michango ya ujenzi wa shule huku mnajenga madaraja yasiyo na tija
Ni wewe unaedhania kujenga madaraja ni mafanikio wakati wananchi wanapata tabu za kila namna.Nilishasema sina muda wa kupoteza kujaribu kumuelewesha!
Mpumbavu ni wewe unaefikiri kwa makalioI don't reason with a fool! Case closed! Siwezi kumuelewesha mpumbafu!
Korosho, mbaazi, ufuta, na mazao mengine ya biashara na kilimo ambayo ndio yanaajiri sehemu kubwa ya Watanzaia, hapa wanatumia nguvu zao za mwili na pesa. Serikali haichangii chochote, wakati wa kuuza bei wanapanga wao na kodi kibao. So, acheni dharau.Nini wewee. Mtaji wako ni nguvu zako mwenyewe
Acha porojo, taja hayo mafanikio!!! Au ule mradi kichaa wa ndege?! Kinyume na hapo, zaidi ya 85% ya miradi ya JPM ameikuta isipokuwa mazuzu wasiojua kinachoendelea serikalini ndo wanadhani ni miradi ya JPM!Akili yako nyembamba, huwezi kuona mafanikio kama nchi watanzania tuliyoyapata chini ya awamu ya tano! Na wala sintapoteza muda kujaribu kumuelewesha mpumbafu!
I don't reason with a fool! Case closed! Siwezi kumuelewesha mpumbafu!Acha porojo, taja hayo mafanikio!!! Au ule mradi kichaa wa ndege?! Kinyume na hapo, zaidi ya 85% ya miradi ya JPM ameikuta isipokuwa mazuzu wasiojua kinachoendelea serikalini ndo wanadhani ni miradi ya JPM!
Angalia ulivyo mpumbavu! Umeshindwa kujibu hata swali jepesi kwa sababu huna unachojua! Very stupid! Utabaki kushangilia hivyo hivyo sawa na Kijakazi wa Mfalme Juha!!! No wonder post ya kwanza tu ukaanza kuji-defend kwa matusi kwa sababu unafahamu huna uwezo wa kujenga hoja!!!I don't reason with a fool! Case closed! Siwezi kumuelewesha mpumbafu!