Mimi naishi na wana Venezuela sijasikia hata mmoja anayempongeza yule dikteta ambaye kawaletea umasikini mkubwa sana nchi yake. Watu wengi wanapata video clip na picha bila kujua hali halisi. Kajielimishe kwanza dogo!Nje ya mada.

Kama huwezi kuona faida tulizozipata kama taifa ktk awamu hii ya tano ukilinganisha na zilizopita,basi ww ni mpumbafu kama wapumbafu wengine...na hakuna mantiki ya kukuelewesha maana upumbafu wako hautakuruhusu kuelewa! Ndio maana nilishasema hapo kabla kuwaAngalia ulivyo mpumbavu! Umeshindwa kujibu hata swali jepesi kwa sababu huna unachojua! Very stupid! Utabaki kushangilia hivyo hivyo sawa na Kijakazi wa Mfalme Juha!!! No wonder post ya kwanza tu ukaanza kuji-defend kwa matusi kwa sababu unafahamu huna uwezo wa kujenga hoja!!!
Wewe unaona Hugo Shavez alikuwa kiongozi bora, lakini machoni kwa wakubwa huyu ni dictator mpaka wakampandikizia cancer.
Tanzania ilipaswa kuwa kaka wa nchi zote za Afrika mashariki na kati. Hii ni kwa sababu kwanza, ilitangulia kupata uhuru, pili ina rasilimali nyingi, kama madini, misitu na maji, tatu ina aridhi kubwa yenye rutuba tatu ina vivutio vingi vya utalii, hivyo kiuchumi, kijamii na kisiasa ilitakiwa kuwa juu au kaka wa wengine tutuiga. Lakini ni tofauti, tumekosea wapi ili tuweze kurekebisha?
Je, tatizo ni mfumo wetu wa SIASA?
Je tatizo ni mfumo wetu wa kupata viongozi?
Je, tatizo ni mfumo wetu wa vyombo vya ulinzi na usalama
Je, tatizo ni kukosekana kwa katiba ya wananchi?
WEWE NI MPUMBAVU USIYE NA AKILI NA NDO MAANA UMESHINDWA HATA KUJIBU ULICHOULIZWA!! NA UPUMBAVU WAKO UNADHIHIRIKA ZAIDI HAPA:-Kama huwezi kuona faida tulizozipata kama taifa ktk awamu hii ya tano ukilinganisha na zilizopita,basi ww ni mpumbafu kama wapumbafu wengine...na hakuna mantiki ya kukuelewesha maana upumbafu wako hautakuruhusu kuelewa! Ndio maana nilishasema hapo kabla kuwa
"I don't reason with a fool! Case closed! Siwezi kumuelewesha mpumbafu!
We relax, rais wetu mpendwa anamalizia mfungo wa quaresma! Yupo 'mlimani' kama unajua maana ya hizo jagons!
WENYE AKILI WALIVYOKUWA WANAWAAMBIA KWAMBA JAMAA ANAPUMULIA MASHINE AND PRESUMBLY DEAD, MPUMBAVU WEWE UKASEMA ETI ANAMALIZIA QWARESMA!!! NA KWELI KAMALIZIA QWARSEMA, KENGE WEWE!!!Huyu naye, eti rais anaumwa, uumwe mwenyewe! Mungu aendelee kumlinda rais wetu mpendwa Mh Dr JPM huko alipo! Na ninyi jichanganyeni tu muone atakapowatokea gwafla na kubwabwaja kwenu!
Hivyi vipengele vya katiba wote tunavijua, lakini hawina kazi kwa sasa maana rais wetu yupo salama na buheri wa afya!
Tanzania ilipaswa kuwa kaka wa nchi zote za Afrika mashariki na kati. Hii ni kwa sababu kwanza, ilitangulia kupata uhuru, pili ina rasilimali nyingi, kama madini, misitu na maji, tatu ina aridhi kubwa yenye rutuba tatu ina vivutio vingi vya utalii, hivyo kiuchumi, kijamii na kisiasa ilitakiwa kuwa juu au kaka wa wengine tutuiga. Lakini ni tofauti, tumekosea wapi ili tuweze kurekebisha?
Je, tatizo ni mfumo wetu wa SIASA?
Je tatizo ni mfumo wetu wa kupata viongozi?
Je, tatizo ni mfumo wetu wa vyombo vya ulinzi na usalama
Je, tatizo ni kukosekana kwa katiba ya wananchi?
You are hopelessly fool! Jifunze kutafuta liziki kwa haki, kamwe hutachukia watu kipumbafu! Lakini kwa ubumbafu wako, hapa natwanga maji kwenye kinu!WEWE NI MPUMBAVU USIYE NA AKILI NA NDO MAANA UMESHINDWA HATA KUJIBU ULICHOULIZWA!! NA UPUMBAVU WAKO UNADHIHIRIKA ZAIDI HAPA:-
WENYE AKILI WALIVYOKUWA WANAWAAMBIA KWAMBA JAMAA ANAPUMULIA MASHINE AND PRESUMBLY DEAD, MPUMBAVU WEWE UKASEMA ETI ANAMALIZIA QWARESMA!!! NA KWELI KAMALIZIA QWARSEMA, KENGE WEWE!!!