Mkuu, bundle yako tu ndiyo inayohitajika kwa wewe kupata takwimu online na ukifanya hivyo utagundua kwamba maelezo yako sio sahihi! Kipindi cha Hugo ndipo uchumi ulianza kupanda kuliko kipindi chochote over the past 50 years. Of course, kwenye mwaka wake wa mwisho uchumi uliyumba lakini bado ulikuwa juu sana kulinganisha kipindi chochote kabla yake. Na hali ilianza kuwa mbaya baada ya kutofautiana na US wazi wazi, tofauti ambazo amezirithi Maduro na hapo ndipo hali ya Venezuela ilivyoendelea kuwa mbaya zaidi.
Of course, kwa utajiri wa mafuta iliyokuwa nayo Venezuela ilitakuwa kuwa mbali zaidi; labda sawa na nchi za Kiarabu lakini ndo hivyo tena, international politics iliwaangusha sana!