Umepita babaNichagueni mimi basi! Nitazirudisha milioni 50 kwenye kila kijiji, nitaurudisha mchakato wa katiba mpya, nitapunguza kiwango cha kodi kwa wafanyabiashara na wajasiriamali ili walipe bila shuruti...
Unaijua historia ya Venezuela?Chavez Bwana? Aliyefaulu kupokea nchi tajiri (inayouza mafuta) na kuacha nchi maskini ambako hata pampu za mafuta ni bovu???
Kuwa na milioni zinazokimbia nje ya nchi kutafuta chakula ?
Kweli?
Achana na hili bwege lililokariri upumbavu.Acha porojo, taja hayo mafanikio!!! Au ule mradi kichaa wa ndege?! Kinyume na hapo, zaidi ya 85% ya miradi ya JPM ameikuta isipokuwa mazuzu wasiojua kinachoendelea serikalini ndo wanadhani ni miradi ya JPM!
Hahaha yule ndo Hugo Chavez wa ufipa? Mbona Hugo mwenyewe original Hana beberu Kama huyo wenu?Alikuja Hugo mkamkataa !
Jinga sana hili jamaa!!Achana na hili bwege lililokariri upumbavu.
Lazima tuwe na katiba mpya bila katiba hatuna muda mrefu tutaingia vitani maana kila Rais anapendelea kujenga kwake au kuwabeba kabila lake
Kwamba alikuta nchi ambayo kila mtu anafaidi rasilimali za nchi sio kweli. Alikuta wananchi hawanufaiki na rasilimali za nchi. Ndio maana alifanya mabadiliko yaliowauzi mabeberu. Ndio wakamuwekea vikwazo.Mkuu sio wote wanamjua huyo Hugo Chavez lakini huyo ujue tu huyo alifanya kila kitu kwa wananchi wake ila alitokaje madarakani? Hali ambayo aliikuta kipindi anashika uongozi wa nchi ni sawa na alivyoiacha?
Mkuu, bundle yako tu ndiyo inayohitajika kwa wewe kupata takwimu online na ukifanya hivyo utagundua kwamba maelezo yako sio sahihi! Kipindi cha Hugo ndipo uchumi ulianza kupanda kuliko kipindi chochote over the past 50 years. Of course, kwenye mwaka wake wa mwisho uchumi uliyumba lakini bado ulikuwa juu sana kulinganisha kipindi chochote kabla yake. Na hali ilianza kuwa mbaya baada ya kutofautiana na US wazi wazi, tofauti ambazo amezirithi Maduro na hapo ndipo hali ya Venezuela ilivyoendelea kuwa mbaya zaidi.Chavez Bwana? Aliyefaulu kupokea nchi tajiri (inayouza mafuta) na kuacha nchi maskini ambako hata pampu za mafuta ni bovu???
Kuwa na milioni zinazokimbia nje ya nchi kutafuta chakula ?
Kweli?
Nakubaliana na wewe kabisa. Njama za mabeberu zimewamalizaMkuu, bundle yako tu ndiyo inayohitajika kwa wewe kupata takwimu online na ukifanya hivyo utagundua kwamba maelezo yako sio sahihi! Kipindi cha Hugo ndipo uchumi ulianza kupanda kuliko kipindi chochote over the past 50 years. Of course, kwenye mwaka wake wa mwisho uchumi uliyumba lakini bado ulikuwa juu sana kulinganisha kipindi chochote kabla yake. Na hali ilianza kuwa mbaya baada ya kutofautiana na US wazi wazi, tofauti ambazo amezirithi Maduro na hapo ndipo hali ya Venezuela ilivyoendelea kuwa mbaya zaidi.
Of course, kwa utajiri wa mafuta iliyokuwa nayo Venezuela ilitakuwa kuwa mbali zaidi; labda sawa na nchi za Kiarabu lakini ndo hivyo tena, international politics iliwaangusha sana!
Uaifahamu historia ya venezuela?Hugo Chavez alikuwa dikteta na sera zake za Ujamaa ziliendelea kuharibu uchumi wa Venezuela taratibu, mrithi wake Maduro amemalizia hiyo kazi ya uharibifu.
Unaijua historia ya Venezuela?
Kaa kimya.Unafikiri amejuaje kwamba Chavez aliporomoa uchumi mzuri wa Venezuela kwa sera mbovu za kutapanya pesa za mafuta hovyo badala kujenga uchumi endelevu unaotoa ajira kwa watu.
Mkuu, bundle yako tu ndiyo inayohitajika kwa wewe kupata takwimu online na ukifanya hivyo utagundua kwamba maelezo yako sio sahihi! Kipindi cha Hugo ndipo uchumi ulianza kupanda kuliko kipindi chochote over the past 50 years. Of course, kwenye mwaka wake wa mwisho uchumi uliyumba lakini bado ulikuwa juu sana kulinganisha kipindi chochote kabla yake. Na hali ilianza kuwa mbaya baada ya kutofautiana na US wazi wazi, tofauti ambazo amezirithi Maduro na hapo ndipo hali ya Venezuela ilivyoendelea kuwa mbaya zaidi.
Of course, kwa utajiri wa mafuta iliyokuwa nayo Venezuela ilitakuwa kuwa mbali zaidi; labda sawa na nchi za Kiarabu lakini ndo hivyo tena, international politics iliwaangusha sana!
True..na bahati mbaya chama chake hawana la kumwambia zaidi ya kumpigia makofi kinafki..akishaondoka ndio wanaanza kumkandiaLazima tuwe na katiba mpya bila katiba hatuna muda mrefu tutaingia vitani maana kila Rais anapendelea kujenga kwake au kuwabeba kabila lake
Nje ya mada.Hebu nenda kajiulize kwanini Venezuela ndiyo nchi inayo ongoza kwa umasikini sehemu walipo na nchi inayoongoza kwa wakimbizi. Pamoja na mafuta yao