Lini Wakenya watazinduka na kuitazama Tanzania kama kioo badala ya kuendelea kuiona kama adui?

Lini Wakenya watazinduka na kuitazama Tanzania kama kioo badala ya kuendelea kuiona kama adui?

Kenya puppet nation inaamini sana kwenye fikra za usa and western europe countries, copy and paste.

Uchumi wao upo mikononi mwa watu weupe, hata viongozi wao wanapotoa matamko, sera zao wanalinda huusiano wao na mataifa makubwa haijalishi wananchi wanaumia kiasi gani hili mradi viongozi wanapiga pesa.

Jamaa wanataka sana international recognition at any cost hata kama hawanufahiki na chochote.

In short kenya sio wenzetu, ni wala wao hawatuoni hivyo.
So be it, so please tell your fellow tz we dont have anything to learn from you and we dont expect you to learn from us or like us. we are not complaining whether we are americans puppet, Europeans puppet or Chinese puppet.
 
...no political freedom and democracy in Tanzania!😂😂😉 Media zimebanwa, serikali thrives on propaganda left right and centre creating a false illusion akilini mwa raiya😂😂😂 balaa! 😂😂😂
Unapinga kwamba Tanzania
1)Hatuna ukabila ?
2)Tumedhibiti rushwa?
3)Tumedhibiti ujambazi?
4)Tumedhibiti migogoro ya wafugaji?
5)Tumedhibiti wachache kumiliki ardhi kubwa?
6)Tumedhibiti Corona
7)Tumedhibiti deni la taifa
Kwako yote haya sio kweli ni propaganda?
 
Rudia tena kusoma mambo niliyoyataja ambayo mnapaswa kuiga Tanzania, sijasema muige kila kitu, ngoja nirudie tena kutaja mambo ya msingi ambayo Kenya mnapaswa kuiga toka Tanzania

1) Ukabila
2) Rushwa
3) Sera ya kumiliki ardhi
4) Kupambana na iyambazi
5) Kumaliza mapigano miongoni mwa wafugaji
6) Kuzuia/ Kupunguza fujo wakati wa uchaguzi
7) Kupambana na Civil -19
8) Kudhibiti matumizi mabaya ya pesa za serikali
9) Kupunguza kukopa kwa miradi isiyokua na tija

Unadhani kwamba ni busara kwa serikali ya Kenya kuendelea kushuhudia wakenya wakipukutika Kw Civil - 19 wakati majirani wa Kenya kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kudhibiti hilo yayiza?
Civil-19 ni nini?
 
Unapinga kwamba Tanzania
1)Hatuna ukabila ?
2)Tumedhibiti rushwa?
3)Tumedhibiti ujambazi?
4)Tumedhibiti migogoro ya wafugaji?
5)Tumedhibiti wachache kumiliki ardhi kubwa?
6)Tumedhibiti Corona
7)Tumedhibiti deni la taifa
Kwako yote haya sio kweli ni propaganda?
Corona mumedhibiti tu kwenye ndoto zenu.
 
so be it, so please tell your fellow tz we dont have anything to learn from you and we dont expect you to learn from us or like us. we are not complaining whether we are americans puppet,Europeans puppet or Chinese puppet

Sijui ni TZ gani anayoizungumzia!
Kuna mambo ya kwenu kweli huwa siyakubali, lakini haimaanishi yote ya TZ ni mazuri kupita ya Kenya. Na baadhi ya mambo yapo katika huu uzi.

Yaani mtu anadiriki kabisa kusema Kenya wajifunze kutoka TZ kwenye kudhibiti vurugu za kisiasa kabla na baada ya uchaguzi, kweli?!! Yaani yupo MTZ na akili zake kabisa anaamini namna ya kuthibiti vurugu za kisiasa inayofanywa TZ ni ya kuigwa!

Yupo MTZ anaamini miradi inayofanywa Kenya ni tofauti na ya TZ!! Miradi ya kwetu inayozingatia mahitaji ya wananchi ni ipi: treni, umeme, ndege, barabara, madaraja?! Kweli yupo MTZ mwenye akili za kudhani hii miradi haipo Kenya!
Haya maswali ni kichaa pekee ndio anaweza kuyauliza, hivi unataka kulinganisha uchaguzi wowote ule wa Kenya ambapo hakuna wakenya 50 waliopoteza maisha?. Uchaguzi ambao Kenya inajisifu ulimalizika kwa amani ni huu wa 2017 ambapo wakenya 67 waliuliwa na polisi, toa idadi ya uchaguzi upi Tanzania ambapo watu wameuliwa, toa ushahidi wacha kusema mambo kwa kufikiria kichwani mwako.

Kuhusu miradi ya maendeleo na huduma kwa wananchi, huko ndiko ambako hata wakenya wanakushangaa, taja mradi wowote wa umeme unaojengwa na serikali ambao unatumia japo $500M
 
Kenya ni nchi yenye matatizo mengi ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa sasa, ukabila, rushwa, ukosefu wa usalama, upungufu wa chakula, migogoro kati ya jamii za wafugaji, miradi ya serikali isitozingatia mahitaji ya wananchi, Covid -19, dhuluma ya umiliki wa athi, vurugu za kisiasa wakati na baada ya uchaguzi ni baadhi tu ya matatizo ya msingi yanayoikabila nchi ya Kenya.

Ukiangalia kwa makini ni kwamba, kwa kiwango kikubwa, Tanzania imefanikiwa sana katika kupunguza kama sio kumaliza kabisa haya matatizo. Kwa akili ya kawaida kabisa, ilipaswa Kenya kujifunza yale mazuri ambayo Tanzania imefanikiwa na ni rahisi kuyamaliza kwa mda mfupi kama kupambana na rushwa, kupambana na ujambazi, kuzalisha chakula, kupambana na Civil -19 na kuzuia ghasia katika vipindi vya uchaguzi, haya ni mambo yanayoweza kudhibitiwa ndani ya muda mfupi bila hata kusubiri BBI na katiba mpya.

Viongozi wa Kenya lazima wakubali kwamba kuna mambo mengi mazuri wanapaswa kuiga toka Tanzania, hakuna faida yoyote ya kujisikia aibu kwa kuiga mazuri yanayofanywa na jirani yako, hata kama ni adui yako, kwa kufanya hivyo Kenya itaendelea kubaki na matatizo bila kujinasua.

"If you can't beat them, join them"
Nini Kenya wanaweza kujifunza kutoka Tanzania ?, mbona unaongea kama umekatwa kichwa ?, au ndio nyie huwa mnaacha akili zenu kwa polepole na bashiru wawatunzie
 
Na nyie mtaiga jambo lipi kutoka kwetu? Kwa kawaida WaTz wa hapa JF huwa wanasema kuwa Kenya ni failed state na hakuna jambo la kuiga kutoka kwetu. Sasa kama ni hivyo mbona kila mtu asikae kwao? Nyie mkae huko na sisi tukae huku.

Hakuna haja ya kuigana kama nyie hamna jambo la kuiga kutoka kwetu. Haiwezekani kuwa nyie mnasema hamna la kuiga kutoka kwetu halafu bado mnategemea sisi tuwaige. Hio bangi kutoka Moshi Tanzania sio nzuri. Muwache kuivuta
Ukisema kila mtu akae kwao nyie ndio mtaumia
 
Nini Kenya wanaweza kujifunza kutoka Tanzania ?, mbona unaongea kama umekatwa kichwa ?, au ndio nyie huwa mnaacha akili zenu kwa polepole na bashiru wawatunzie
Haya hapa ya kujifunza
1)Kupambana na ukabila
2)Kupambana na rushwa
3)Kupambana na ujambazi
4)Kuzalisha Chakula cha kutosha
5) Kuzuia mapigano miongoni mwa jamii za wafugaji
6)Kupambana na Corona
7)Kuzuia vurugu wakati wa uchaguzi zinazosababisha vifo vya wakenya wengi
8)Kujenga umoja na utulivu wa kitaifa
 
Tanzania hii moja😂😂😂😂😂., what are you smoking blind patriot? 😂😂😂 facts ziko wazi., extreme poverty, lack of freedom, underdeveloped mashinani (poverty 80%), utapia mlo kwa watoto! big population na uchumi hafifu Eish! how can such be a mirror? A ka section of developed Dar inakudanganya😂😂😂, tazama the 85% kisha uzungumze., pengine ni Tz iliyo akilini mwako tu 😂😂😉😂😂
umeshawahi kufika hata Namanga?naona unaongelea mambo ya 1980's
 
Kwhyo unamaanisha tanzania tangia mjihakikishie hakuna corona watu hawafi mitaani...au siku hizi hamfi tena jamani
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Haya hapa ya kujifunza
1)Kupambana na ukabila
2)Kupambana na rushwa
3)Kupambana na ujambazi
4)Kuzalisha Chakula cha kutosha
5) Kuzuia mapigano miongoni mwa jamii za wafugaji
6)Kupambana na Corona
7)Kuzuia vurugu wakati wa uchaguzi zinazosababisha vifo vya wakenya wengi
8)Kujenga umoja na utulivu wa kitaifa
Watu tanzania hawafi bana, wanasubiria corona itokomee ndio muanze kufa
 
Kenya ni nchi yenye matatizo mengi ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa sasa, ukabila, rushwa, ukosefu wa usalama, upungufu wa chakula, migogoro kati ya jamii za wafugaji, miradi ya serikali isitozingatia mahitaji ya wananchi, Covid -19, dhuluma ya umiliki wa athi, vurugu za kisiasa wakati na baada ya uchaguzi ni baadhi tu ya matatizo ya msingi yanayoikabila nchi ya Kenya.

Ukiangalia kwa makini ni kwamba, kwa kiwango kikubwa, Tanzania imefanikiwa sana katika kupunguza kama sio kumaliza kabisa haya matatizo. Kwa akili ya kawaida kabisa, ilipaswa Kenya kujifunza yale mazuri ambayo Tanzania imefanikiwa na ni rahisi kuyamaliza kwa mda mfupi kama kupambana na rushwa, kupambana na ujambazi, kuzalisha chakula, kupambana na Civil -19 na kuzuia ghasia katika vipindi vya uchaguzi, haya ni mambo yanayoweza kudhibitiwa ndani ya muda mfupi bila hata kusubiri BBI na katiba mpya.

Viongozi wa Kenya lazima wakubali kwamba kuna mambo mengi mazuri wanapaswa kuiga toka Tanzania, hakuna faida yoyote ya kujisikia aibu kwa kuiga mazuri yanayofanywa na jirani yako, hata kama ni adui yako, kwa kufanya hivyo Kenya itaendelea kubaki na matatizo bila kujinasua.

"If you can't beat them, join them"
Ila unajua mtoa UZI , ata baba wa taifa JK Nyerere alisema kqbla huja enda nje ya baraa la afrika angalia kwanza jiran yako anaweza kukusaidia ..sasa binafsi naona kwa Kenya ni ngumu sababu mfumo wa utamadun nq uchumi ni tafauti,
Japo kuna machache aambayo wame tohoa mfano jambo la balozi wa nyumba kumi...nafikir liwesaidia kitu ilo kwa hapo kenyaa hususan ktk vita dhid yaa magaidi ....
 
Tanzania hii moja😂😂😂😂😂., what are you smoking blind patriot? 😂😂😂 facts ziko wazi., extreme poverty, lack of freedom, underdeveloped mashinani (poverty 80%), utapia mlo kwa watoto! big population na uchumi hafifu Eish! how can such be a mirror? A ka section of developed Dar inakudanganya😂😂😂, tazama the 85% kisha uzungumze., pengine ni Tz iliyo akilini mwako tu 😂😂😉😂😂
1605303494178.png
 
Back
Top Bottom