Lini Wakenya watazinduka na kuitazama Tanzania kama kioo badala ya kuendelea kuiona kama adui?

Lini Wakenya watazinduka na kuitazama Tanzania kama kioo badala ya kuendelea kuiona kama adui?

Kwhyo pia hata wauguzi bongo kufa zii siku hizi kisa hamna corona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwel jiwe ni jembe, manake tangia corona kwake iishe israil amepiga stop
Kwhyo pia hata wauguzi bongo kufa zii siku hizi kisa hamna corona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwel jiwe ni jembe, manake tangia corona kwake iishe israil amepiga stop
Hahahaha, wacha kutapatapa, hao wahudumu wa Afya Kenya wanalalamika bado unaona ni wapuuzi?, kweli ukabila ni ugonjwa usiokua na dawa, kwahiyo hata watu wanaokufa kufa huko Ethiopia kutokana na vita vinavyoendelea unaweza kutumia "reasoning" hiyohiyo?. Punguza ukabila kidogo ili uweze kufikiria vizuri.
 
pesa kidogo unajikuta umekuwa role model kwa nchi nyingine
tuache upumbavu tukomae kuongeza thaman ya pesa yetu na demokrasia
Wacha kuzungumza maeneo ambayo huna elimu nayo ya kutosha, hamani ya pesa ina uhusiano gani na gharama za maisha ya wananchi wa kawaida? Kati ya Kenya na Japan ambao pesa zao zinalingana, mbona ni mbingu na Ardhi katika standard of living?

Kuhusu demokrasia, kati ya Kenya na Tanzania, nchi ipi ambayo serikali yake inaua raia wake hovyo kila mwaka?, ukiambiwa kati ya kuzuiliwa kutoa maoni, au uruhusiwe kutoa maoni lakini baadae unauliwa kwa kutoa maoni, kipi bora?
 
Wacha kuzungumza maeneo ambayo huna elimu nayo ya kutosha, hamani ya pesa ina uhusiano gani na gharama za maisha ya wananchi wa kawaida?, Kati ya Kenya na Japan ambao pesa zao zinalingana, mbona ni mbingu na Ardhi katika standard of living?.

Kuhusu demokrasia, kati ya Kenya na Tanzania, nchi ipi ambayo serikali yake inaua raia wake hovyo kila mwaka?, ukiambiwa kati ya kuzuiliwa kutoa maoni, au uruhusiwe kutoa maoni lakini baadae unauliwa kwa kutoa maoni, kipi bora?
Naomba unijibu swali langu... Ni yapi unadhani nchi yako ya Tanzania inaweza kujifunza toka nchi ya Kenya?
 
Hahahaha, wacha kutapatapa, hao wahudumu wa Afya Kenya wanalalamika bado unaona ni wapuuzi?, kweli ukabila ni ugonjwa usiokua na dawa, kwahiyo hata watu wanaokufa kufa huko Ethiopia kutokana na vita vinavyoendelea unaweza kutumia "reasoning" hiyohiyo?. Punguza ukabila kidogo ili uweze kufikiria vizuri.
Etiopia imeingiaje hapa, kwn kabla vita ethiopia watu ilikua hawafi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hyo idadi ya watu wanaotajwa wanakufa na corona mbona kitambo watu kenyatta na makadara walikua wanaenda wengi tu hta zaidi ya hao kwa siku.

Kwhyo usiseme bongo watu hawafi jomba[emoji1787]
Hampimi watu sisi tunapima, hampimi maiti sisi tunapima ila pale pa kufa mbona watu watakufa tu..au labda utuhakikishie tangia corona itoweke bongo watu hawafi mahospitalini[emoji1787][emoji1787]
 
Hahahaha, unachekesha sana, tatizo lenu wakenya wa kawaida hawathamini Kenya, zaidi ya watu 67 walipigwa risasi na kuuliwa katika uchaguzi wenu 2017, bado unasema bila tundu la risasi, hao sio watu kwasababu sio wanasiasa?.

Kenyanapaswa kuiga Tanzania katika kufanya uchaguzi wa amani bila kumwaga damu. Tundu Lissu ameamua kuondoka kwa kuhofia usalama wake, hajafukuzwa kama Miguna Miguna. Mahakama imetaka arudishwe lakini serikali yenu imegoma, hiyo ni demokrasia gani?, hiyo katiba yenu inasaidiaje kupunguza vifo kipindi cha uchaguzi?
Si hta kw jiwe polisi waliuwa watu au unapinga
 
Rudia tena kusoma mambo niliyoyataja ambayo mnapaswa kuiga Tanzania, sijasema muige kila kitu, ngoja nirudie tena kutaja mambo ya msingi ambayo Kenya mnapaswa kuiga toka Tanzania

1) Ukabila
2) Rushwa
3) Sera ya kumiliki ardhi
4) Kupambana na iyambazi
5) Kumaliza mapigano miongoni mwa wafugaji
6) Kuzuia/ Kupunguza fujo wakati wa uchaguzi
7) Kupambana na Civil -19
8) Kudhibiti matumizi mabaya ya pesa za serikali
9) Kupunguza kukopa kwa miradi isiyokua na tija

Unadhani kwamba ni busara kwa serikali ya Kenya kuendelea kushuhudia wakenya wakipukutika Kw Civil - 19 wakati majirani wa Kenya kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kudhibiti hilo yayiza?
Na wewe ukaige kutokuiba kura na mahakama huru na uhuru wa kujieleza
 
Na wewe ukaige kutokuiba kura na mahakama huru na uhuru wa kujieleza
Uhuru wa kujieleza upi tena?
Huko mitandaoni mnatukana serikali mnavyotaka na hamkamatwi, unataka uhuru upi tena?

Na mlivyo na akili finyu mnafikiri kumtukana kiongozi matusi ndio uhuru wa kujieleza! Dunderhead you
 
una kichaa wewe..uongozi gani uko tz mpaka wakenya waje kubench mark uko?nani alikuja funzwa uongozi uko?
Soma hapo kijana, mkiambiwa ccm babalao, mnabishana.
 
Kenya ni shamba la mzungu na genge la Kenyatta, wengine wote ni watumwa tu hiyo nchi n'a wenyewe wanajua ni vile hawana cha kufanya.
 
pingli-nywee swali umeulizwa (chaguzi mbili za Kenya ziliishaje na je wapinzani waliishia wapi). Umeongea juu juu tu WAPI

Swali jipywa kwako
haya NAMBIE MIGUNA YUPO wapi na kwa nini?
NA kwa nini RAILA ana Muunga mkono Uhuru?
Je kisa gani kilimuondoa uhai Rojo yule wa Mombasa?
Kwa nini yule mtaalamu wa IT wa tume ya uchaguzi ya Kenya kidole chake kilikatwa naye akauwawa kama chokoraa
 
Kwani kuliendaje? Uchaguzi wa 2013, tume mpya na huru ya uchaguzi, IEBC, ilifanya kazi nzuri na uchaguzi uliisha bila malumbano. 2017 wapinzani wakapinga matokeo, wakawasilisha kesi yao mahakamani, uchaguzi wa urais ukabatilishwa. Ukarudiwa tena, upinzani wakapinga matokeo tena, mgombea wa upinzani akajiapisha. Baadaye wakafanya handshake na rais na sasa hivi bado yupo Kenya, bila tundu hata moja la risasi, wakiketi pamoja kupanga na kujadili masuala ya taifa la Kenya. Sasa tuna nini cha kujifunza kutoka kwenu, wakati bunge lenu sasa hivi ni la chama kimoja? Huku aliyekuwa mgombea wenu wa urais kutoka chama cha upinzani akiwa ukimbizini kule Ubelgiji?
Embu nambie na huyu mbabe wa Amnesty Renee Ngamau kwa nini alikamatwa?

Ukimaliza ilo nambie kwa nini EFF cha South Africa hakiungwi mkono na wazungu na taasisi zao?
 
Kenya ni nchi yenye matatizo mengi ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa sasa, ukabila, rushwa, ukosefu wa usalama, upungufu wa chakula, migogoro kati ya jamii za wafugaji, miradi ya serikali isitozingatia mahitaji ya wananchi, Covid -19, dhuluma ya umiliki wa athi, vurugu za kisiasa wakati na baada ya uchaguzi ni baadhi tu ya matatizo ya msingi yanayoikabila nchi ya Kenya.

Ukiangalia kwa makini ni kwamba, kwa kiwango kikubwa, Tanzania imefanikiwa sana katika kupunguza kama sio kumaliza kabisa haya matatizo. Kwa akili ya kawaida kabisa, ilipaswa Kenya kujifunza yale mazuri ambayo Tanzania imefanikiwa na ni rahisi kuyamaliza kwa mda mfupi kama kupambana na rushwa, kupambana na ujambazi, kuzalisha chakula, kupambana na Civil -19 na kuzuia ghasia katika vipindi vya uchaguzi, haya ni mambo yanayoweza kudhibitiwa ndani ya muda mfupi bila hata kusubiri BBI na katiba mpya.

Viongozi wa Kenya lazima wakubali kwamba kuna mambo mengi mazuri wanapaswa kuiga toka Tanzania, hakuna faida yoyote ya kujisikia aibu kwa kuiga mazuri yanayofanywa na jirani yako, hata kama ni adui yako, kwa kufanya hivyo Kenya itaendelea kubaki na matatizo bila kujinasua.

"If you can't beat them, join them"
Hivi vioo vingine labda ni vya MBAO. Tanzania iwe kioo kwa Kenya kwenye uchaguzi?
tapatalk_jpeg_1605437000422.jpg
 
Uchaguzi uliopita ulikuwa na matatizo gani mkuu? Usipende kuchukulia speculations kuwa ukweli.
Jina lako linaakisi mengi mkuu. Lets close this chapter, uchaguzi umeshapita na tumeambiwa 'umeshapita' tusonge mbele, sasa sisi ni nani tuendelee kuuongelea?
 
Haya ndio mnataka tuige 😂😂

"Mwaka huu hakuna raha kwa sababu hata mimi sipati raha kwa mke wangu"- JPM Nov 16,2020
 
Tumia akili vizuri sio lazima kila kitu hadi ufafanuliwe Kama mtoto mdogo, nimebainisha maeneo ambayo Kenya inapaswa kuiga Tanzania, wacha kujitia uchizi.
Mbona langu unalikwepa Mkuu? Ni yapi Tz inapaswa kuiga toka Kenya? Usione haya wewe bainisha tu.
 
"Hey! Look at me! I am a GREAT person! Emulate me!"

These words are the most obvious symptoms of a weak underachiever with low self-esteem and inferiority complex.
 
Back
Top Bottom