Asante kwa usahihisho.Walifungwa 6 sio 5
Habari ya mjini leo ni lile kombora tu la Fei Toto! Hayo mengine sisi hayatuhusu.
Wananchi leo tulihitaji ushindi tu. Hizo rekodi nyingine zitaandikwa wakati mwingine.Yanawahusu sana tena kila mechi yenu na Simba kulipa.madeni, mnajikausha tu.
Leo ilikuwa chance yenu kubwa kwani mnyama alikuwa dhaifu mno lakini mmehangaika sana hilo goli kulilinda- na pia Mayele wenu akawafunge Numumgo, sio sisi nhana.
Sita yanauma sana yanaonyesha kweli ni timu ya utopolo na siyo kufungwa kwa bahati, lkn moja linaonyesha mmepambana na wanaume kweli kweli na pengine bahati tu.goli moja linauma mno! endeleeni kujifariji
goli moja linauma mno! endeleeni kujifariji
ngoja nikukumbushe mtani mechi ya goli 5 nadhani ilikuwa 2012 au 2013 kulikuwa na mgogoro mkubwa Jangwani klabuni wa Yanga Asili na Yanga kampuni na siku moja kabla ya mechi Mzee Akilimali aliongea mbele ya TV mimi nikishuhudia akavua kofia akaweka juu ya meza akasema kwa hasira tutaona nani mbabe kesho derby!Kila siku watani wa jadi wanapokutana wasiwasi wangu mkubwa huwa ni Yanga kulilipa hilo deni na kusema kweli mechi ya leo hapo Kirumba nilikuwa sina raha kwani kikosi cha mnyama kilikuwa dhaifu sana katika miongo mingi kwenye mechi dhidi ya watani wao nikakujua tu leo ni kulipa hilo deni na wao kuweka rekodi yao.
Nilitegemea si chini ya goli 6 kufungwa.
Lakini wapi! Lini mtalilipa hilo deni?
Kumbe wewe ni mjinga kiasi hiki au ndio umetafuta kichaka cha kujipozea machungu? Yanga leo imepata kagoli kamoja tu, vipi kamewatoa mashindanoni ama lah? Na Simba wameambulia na kombe la mapinduzi pekee msimu huu.Sita yanauma sana yanaonyesha kweli ni timu ya utopolo na siyo kufungwa kwa bahati, lkn moja linaonyesha mmepambana na wanaume kweli kweli na pengine bahati tu.
Comeon- lipeni madeni yanayowatia doa baya sana kihistoria
MnajifarijiKila siku watani wa jadi wanapokutana wasiwasi wangu mkubwa huwa ni Yanga kulilipa hilo deni na kusema kweli mechi ya leo hapo Kirumba nilikuwa sina raha kwani kikosi cha mnyama kilikuwa dhaifu sana katika miongo mingi kwenye mechi dhidi ya watani wao nikakujua tu leo ni kulipa hilo deni na wao kuweka rekodi yao.
Nilitegemea si chini ya goli 6 kufungwa.
Lakini wapi! Lini mtalilipa hilo deni?
goli moja ni dogo ila kwa Dkk 60 wameshindwa kusawazishaKumbe wewe ni mjinga kiasi hiki au ndio umetafuta kichaka cha kujipozea machungu? Yanga leo imepata kagoli kamoja tu, vipi kamewatoa mashindanoni ama lah? Na Simba wameambulia na kombe la mapinduzi pekee msimu huu.