Lini yanga watalipa goli 5-0 waliofungwa na simba 1977 miaka 45 nyuma?

Lini yanga watalipa goli 5-0 waliofungwa na simba 1977 miaka 45 nyuma?

Michezo minne wachawi wamepoteza mbili wamesare mbili, sasa mnataka mpaka tuwaue ndio mue na adabu?
 
Yanawahusu sana tena kila mechi yenu na Simba kulipa.madeni, mnajikausha tu.
Leo ilikuwa chance yenu kubwa kwani mnyama alikuwa dhaifu mno lakini mmehangaika sana hilo goli kulilinda- na pia Mayele wenu akawafunge Numumgo, sio sisi nhana.
Mnajifariji makolo
 
Back
Top Bottom