Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Kabla na baada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni 65 mkuugoli moja ni dogo ila kwa Dkk 60 wameshindwa kusawazisha
Simba hawaiwezi tena Yanga hadi wacheze pungufu😆Simba wakicheza bila beki ndo yanga watapata goli
5
Au tucheze tisa.
Tofauti na hapo utopolo watapata tabu sana
Usilete za kuletwa. Huyo akilimali ndiyo alicheza? Uongo mtupu!ngoja nikukumbushe mtani mechi ya goli 5 nadhani ilikuwa 2012 au 2013 kulikuwa na mgogoro mkubwa Jangwani klabuni wa Yanga Asili na Yanga kampuni na siku moja kabla ya mechi Mzee Akilimali aliongea mbele ya TV mimi nikishuhudia akavua kofia akaweka juu ya meza akasema kwa hasira tutaona nani mbabe kesho derby!
msijisifu hamkuifunga Yanga kwa kuizidi ufundi bali maelekezo! fikisha kumbukizi hii Msimbazi wengi wenu hamuijui!!
Acha kujifaragua lipa deni jombaaa!Mikia siku zote najua hmnazo. Lakini nyie mlivyo na mioyo mibovu hata mgongwe 100 mtatafutia namna ya kujiliwaza
Mjinga wewe. Muaka 4 iliyopita mlikuwa wapi? Shimoni? Si mlikuwa mnacheza mnatoka kapa bila kombe la PL?Kumbe wewe ni mjinga kiasi hiki au ndio umetafuta kichaka cha kujipozea machungu? Yanga leo imepata kagoli kamoja tu, vipi kamewatoa mashindanoni ama lah? Na Simba wameambulia na kombe la mapinduzi pekee msimu huu.
Tumeanza kulipa kwa kurejesha makombe yetu. Msimu huu mmeambulia kombe la kisiasa pekee.Acha kujifaragua lipa deni jombaaa!
Dawa ya deni ni kulipa tu!
Wakati simba ikichukua kombe ilitoka kukaa miaka mitano pasipo kombeMjinga wewe. Muaka 4 iliyopita mlikuwa wapi? Shimoni? Si mlikuwa mnacheza mnatoka kapa bila kombe la PL?
Simba hawaiwezi tena Yanga hadi wacheze pungufu😆Simba wakicheza bila beki ndo yanga watapata goli
5
Au tucheze tisa.
Tofauti na hapo utopolo watapata tabu sana
waulize wazee! ila leo mtalala na viatu na mtamuota FeisaaaaaaaaalllUsilete za kuletwa. Huyo akilimali ndiyo alicheza? Uongo mtupu!
Umechemka mkuu. Unalazimisha furaha kwa kujilazimisha kukumbuka yaliyopita. Pambaneni kulipa kisasi kwa kugongwa mara nyingiAcha kujifaragua lipa deni jombaaa!
Dawa ya deni ni kulipa tu!
wewe mbuzi lilegoli alilolifunga fei toto jana limetosha kulipa magoli yote simba iliyowai kumfunga yanga.Kila siku watani wa jadi wanapokutana wasiwasi wangu mkubwa huwa ni Yanga kulilipa hilo deni na kusema kweli mechi ya leo hapo Kirumba nilikuwa sina raha kwani kikosi cha mnyama kilikuwa dhaifu sana katika miongo mingi kwenye mechi dhidi ya watani wao nikakujua tu leo ni kulipa hilo deni na wao kuweka rekodi yao.
Nilitegemea si chini ya goli 6 kufungwa.
Lakini wapi! Lini mtalilipa hilo deni?