Lini yanga watalipa goli 5-0 waliofungwa na simba 1977 miaka 45 nyuma?

Mara Baada Ya Kukosa Vyote Msimu Huu Wanaanza Kutuletea Habari Za Miaka Ya Sabini, ila Yanga Msimu Huu Tumewafanyia Ukatili Sana [emoji1787][emoji1787]
 
Simba wakicheza bila beki ndo yanga watapata goli
5
Au tucheze tisa.
Tofauti na hapo utopolo watapata tabu sana
Simba hawaiwezi tena Yanga hadi wacheze pungufu😆
 
Haishangazi mna sifa flan hivi ileeee aliyowapa Rage .
 
Usilete za kuletwa. Huyo akilimali ndiyo alicheza? Uongo mtupu!
 
Mikia siku zote najua hmnazo. Lakini nyie mlivyo na mioyo mibovu hata mgongwe 100 mtatafutia namna ya kujiliwaza
Acha kujifaragua lipa deni jombaaa!
Dawa ya deni ni kulipa tu!
 
Kumbe wewe ni mjinga kiasi hiki au ndio umetafuta kichaka cha kujipozea machungu? Yanga leo imepata kagoli kamoja tu, vipi kamewatoa mashindanoni ama lah? Na Simba wameambulia na kombe la mapinduzi pekee msimu huu.
Mjinga wewe. Muaka 4 iliyopita mlikuwa wapi? Shimoni? Si mlikuwa mnacheza mnatoka kapa bila kombe la PL?
 
Mjinga wewe. Muaka 4 iliyopita mlikuwa wapi? Shimoni? Si mlikuwa mnacheza mnatoka kapa bila kombe la PL?
Wakati simba ikichukua kombe ilitoka kukaa miaka mitano pasipo kombe
 
Simba wakicheza bila beki ndo yanga watapata goli
5
Au tucheze tisa.
Tofauti na hapo utopolo watapata tabu sana
Simba hawaiwezi tena Yanga hadi wacheze pungufu😆
Usilete za kuletwa. Huyo akilimali ndiyo alicheza? Uongo mtupu!
waulize wazee! ila leo mtalala na viatu na mtamuota Feisaaaaaaaaalll
 
Acha kujifaragua lipa deni jombaaa!
Dawa ya deni ni kulipa tu!
Umechemka mkuu. Unalazimisha furaha kwa kujilazimisha kukumbuka yaliyopita. Pambaneni kulipa kisasi kwa kugongwa mara nyingi
 
wewe mbuzi lilegoli alilolifunga fei toto jana limetosha kulipa magoli yote simba iliyowai kumfunga yanga.
kwanza director wa mama kwenye ile movie yake ya royal tour amesema lile goli inabidi liwekwe kwenye ile movie ili kuvutia zaidi watalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…