Link ya kutazama Yanga Vs Mamelodi Sundowns hii hapa, unaweza pia kutazama mechi nyingine za ulaya

Link ya kutazama Yanga Vs Mamelodi Sundowns hii hapa, unaweza pia kutazama mechi nyingine za ulaya

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Nimeona wadau wengi wakiulizia link ya kutazama mechi ya Yanga Vs Mamelodi Sundowns.

Pia wengine huwa wanaulizia kutazama mechi nyinginezo za ulaya. Basi hii ndio suluhu ya kiu yako, mshtue na mwenzako!

Thanks boss.

Tutaangalia mpira.

Nilipokuwa simba na akina Senzo
Binafsi milipush sana sana mambo 3.
1. UWEKEZAJI SIO CHUPLI ZA KANJIBAI MO.

2. UONGOZI MATHUBUTI .

3 WACHEZAJI WENYE UWEZO.

Kuna vichaa walitufukuza asubuhi tu.
 
Thanks boss.

Tutaangalia mpira.

Nilipokuwa simba na akina Senzo
Binafsi milipush sana sana mambo 3.
1. UWEKEZAJI SIO CHUPLI ZA KANJIBAI MO.

2. UONGOZI MATHUBUTI .

3 WACHEZAJI WENYE UWEZO.

Kuna vichaa walitufukuza asubuhi tu.
Wakati Kaduguda katibu mkuu, Dalali mwenyekiti alipresent hoja za ujenzi wa uwanja wa Simba kwenye kikao na uwekezaji.

Guess what, alishambuliwa na kina Dalali kwamba mambo yako ya kisomi usiyalete Simba, tumechaguwa kuongoza Kwa miaka mitatu tu.

Ndio chanzo cha kudai pesa zake za chapati alizonunuwa ili wachezaji wanywee chai pale transit motel.
 
Nimeona wadau wengi wakiulizia link ya kutazama mechi ya Yanga Vs Mamelodi Sundowns.

Pia wengine huwa wanaulizia kutazama mechi nyinginezo za ulaya. Basi hii ndio suluhu ya kiu yako, mshtue na mwenzako!

Naclick live ya TP Mazembe na Petros mbona haifungui inasema kuna alternative link, kiaje tena?
 
Attachments

  • Screenshot_2024-03-30-18-15-58-82.png
    Screenshot_2024-03-30-18-15-58-82.png
    152.4 KB · Views: 5
Back
Top Bottom