Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Anajidhalilisha nn weye km wananchi mpk rais wake amemwomba arudi?Atajiaibisha, atadhalilika!
thamani yake inashuka taaratibu mpaka kwenye zero point!
kwani chochote utakaachoombwa lazima ukubali??? kombe ameshindwa kubeba FULLSTOP.Anajidhalilisha nn weye km wananchi mpk rais wake amemwomba arudi?
Alieweka huo utaratibu kwamb usipobeba kombe fullstop ni nan?au ni ww ambae hata danadana matatizokwani chochote utakaachoombwa lazima ukubali??? kombe ameshindwa kubeba FULLSTOP.
Huyu jamaa zimwi la Ronaldo linamsumbua sana.
Huyu jamaa zimwi la Ronaldo linamsumbua sana.
Matapishi hayalambwi!
hana jipya labda argentina ingekuwa barca angebeba kombe, lakini tofauti na barca hana kitu