Hicho ni kipaji pia, wabongo wengi wanajua kupiga chenga ndio kuwa Bora, hivyo vichwa anavyopiga Ronaldo watu wachache Sana duniani wanaweza. Even NBA wanapocheza Basket wachache Sana wanaweza kuruka zaidi yake.
Ronaldo ana magoli 123 ambayo amefunga kwa vichwa, hizo sio namba za kitoto.
Vyema Basi ukawasilisha maoni yako FIFA waban matumizi ya kichwa, na Makipa pia wakatazwe kudaka na pia ipigwe marufuku mipira ya kurusha.kipaji halisi hua kipo mguuni. ndio mana ukaitwa mpira wa miguu
Vyema Basi ukawasilisha maoni yako FIFA waban matumizi ya kichwa, na Makipa pia wakatazwe kudaka na pia ipigwe marufuku mipira ya kurusha.
Hilo tunaita Povu
INGELIKUWA MESSI HANA SIFA YA UONGOZI BASI BARCELONA ISINGEKUWA NA MAFANIKIO.View attachment 1148981Tumeshuhudia Linel Messi kwa muda mrefu akisota na timu yake ya Taifa kuipa mafanikio tangu kombe la Dunia 2006 hadi mwaka jana 2018.
Tofauti na mafanikio makubwa aliyoiletea klabu yake ya Barcelona
Pamoja na kuwa na mastaa wengi, Argentina bado imeendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu kwa kuondolewa mapema kwenye mashindano muhimu kuanzia makombe yote ya Dunia Messi aliyoshiriki (ukiondoa ile ya Brazil ya mwaka 2014 ambako Argentina ilifika fainali), kwenye Copa America nk
Argentina inachokosa kikubwa ni uongozi
Kwenye uongozi kinachohitajika ni
Hizo sifa zote Messi hana
- Inspiration - aweze kuwatia hamasa wenzake hata wakati wa hali ngumu
- Kujengewa wachezaji positive and winning mentality
- Communication - aweze kuwa medium/njia laini na rahisi ya mawasiliano- kusiwepo na gap ya mawasiliano yenye kusababisha mahusiano mabaya, magomvi na kutoaminiana kwenye timu
- Unification au kujenga timu kila mtu ajione ni sehemu ya timu na peke yake hakuna mafanikio
- Uzalendo - kwamba mafanikio ni lazima kwa ajili ya familia, marafiki, ndugu, nchi na awe tayari kujitoa mhanga kwa ajili ya hiyo
TOFAUTI NAYE
- Messi is not a good communicator
- Ukimya wake unapitiliza na mara nyingi hana muda wa kuwatia ari na hamasa wenzake
Cristiano Ronaldo hizi sifa anazo na ndizo zilizomletea kupata mafanikio kwenye timu yake ya Taifa na wenzake wanampenda sana
Makosa makubwa timu nyingi za mpira zinafdanya ni kwa vile mchezaji ni mzuri uwanjani basi na wampee na unahodha wa timu wakati sifa za uongozi hana
Karibuni kama mna maoni, michango ijikite kwenye sifa za uongozi na sio uchezaji wa hao wawili
Kumbuka messi hapigi chenga peke ake.Hicho ni kipaji pia, wabongo wengi wanajua kupiga chenga ndio kuwa Bora, hivyo vichwa anavyopiga Ronaldo watu wachache Sana duniani wanaweza. Even NBA wanapocheza Basket wachache Sana wanaweza kuruka zaidi yake.
Ronaldo ana magoli 123 ambayo amefunga kwa vichwa, hizo sio namba za kitoto.
Kwenye Mashindano makubwa Kama Uefa champions League Messi kapitwa na Christiano Kwenye Assist, kapitwa pia na GiggsKumbuka messi hapigi chenga peke ake.
Anatoa assist za magoli vilivyo.
Na mpaka sasa dunia ndiyo inamtambua kuwa greatest playmaker ever.
Ngojea nikachukue data ya ukweli sio yako hiyo ya kupikwaKwenye Mashindano makubwa Kama Uefa champions League Messi kapitwa na Christiano Kwenye Assist, kapitwa pia na Giggs
View attachment 1150760
Na ukitaka uone mnyumbuliko wa stats za Messi nikuletee kwa makundi 16 Bora, robo, nusu etc
Messi anafunga na ku assist kwenye hatua za makundi na kidogo 16 Bora ila michuano inavyozidi kuwa migumu na yeye anapotea, kafanya hivyo world cup, anafanya hivyo copa America, Uefa champions League etc.
Which player has the most assists in the worldKwenye Mashindano makubwa Kama Uefa champions League Messi kapitwa na Christiano Kwenye Assist, kapitwa pia na Giggs
View attachment 1150760
Na ukitaka uone mnyumbuliko wa stats za Messi nikuletee kwa makundi 16 Bora, robo, nusu etc
Messi anafunga na ku assist kwenye hatua za makundi na kidogo 16 Bora ila michuano inavyozidi kuwa migumu na yeye anapotea, kafanya hivyo world cup, anafanya hivyo copa America, Uefa champions League etc.
Kwenye Mashindano makubwa Kama Uefa champions League Messi kapitwa na Christiano Kwenye Assist, kapitwa pia na Giggs
View attachment 1150760
Na ukitaka uone mnyumbuliko wa stats za Messi nikuletee kwa makundi 16 Bora, robo, nusu etc
Messi anafunga na ku assist kwenye hatua za makundi na kidogo 16 Bora ila michuano inavyozidi kuwa migumu na yeye anapotea, kafanya hivyo world cup, anafanya hivyo copa America, Uefa champions League etc.
Hebu tumia Hata akili ya kuzaliwa Mchezaji mwenye msimu mmoja Sancho na Fraser sijui wa Burnley Huyo watakuwaje great playmaker of All time Kama ulivyojinasibu huko juu? Let's stats zozote za Mashindano magumu nasubiria. Sitaki sijui coppa de la Rey, Mara sijui getafe hizo Sina shida nazo. Leta Mashindano KamaWhich player has the most assists in the world
# Player Assists player / team
5 Nuzzolo 14 35
6 Sancho 14 58
7 Fraser 14 40
8 Messi 13 59
World Cup All time - Most AssistsHebu tumia Hata akili ya kuzaliwa Mchezaji mwenye msimu mmoja Sancho na Fraser sijui wa Burnley Huyo watakuwaje great playmaker of All time Kama ulivyojinasibu huko juu? Let's stats zozote za Mashindano magumu nasubiria. Sitaki sijui coppa de la Rey, Mara sijui getafe hizo Sina shida nazo. Leta Mashindano Kama
-world cup
-copa America
-Champions league Etc
Hebu tumia Hata akili ya kuzaliwa Mchezaji mwenye msimu mmoja Sancho na Fraser sijui wa Burnley Huyo watakuwaje great playmaker of All time Kama ulivyojinasibu huko juu? Let's stats zozote za Mashindano magumu nasubiria. Sitaki sijui coppa de la Rey, Mara sijui getafe hizo Sina shida nazo. Leta Mashindano Kama
-world cup
-copa America
-Champions league Etc
Mwwmbie cr7 aipeleke ureno fainali kombe la dunia km messi alafu ndo umpe izo sifa
Kuonyesha stats zako ni fakeWorld Cup All time - Most Assists
Assists Assist name
6 Lionel Messi
5 James Rodriguez
5 Juan Cuadrado
4 Thomas Muller
4 Bastian Schweinsteiger
4 Eden Hazard
4 Kevin De Bruyne
3 Christian Ziege
3 Michael Ballack
3 Wesley Sneijder
3 Luis Suarez
HUYO NDIYO MWANAUMEEE
Hiyo ni list ya wachezaji wa sasa contemporary players.Kuonyesha stats zako ni fake
1. Hakuna Mchezaji wa zamani Hata mmoja.
2. Pelle ana assist 10, Maradona ana assist 8 wamewazidi wote kwenye hio list
https://www.sportskeeda.com/footbal...er-pele-diego-maradona-statistical-comparison
Mimi sijasema Ronaldo ni best playmaker of All time na Wala sitakuja kusema sababu hadeserve hio title, napinga tu maneno yako wewe uliyosema Messi ni best playmaker of All time hivyo usimuingize Ronaldo Hapo.Hiyo ni list ya wachezaji wa sasa contemporary players.
Kama unataka ya wachezaji wote hii hapa messi,Ronaldo hayupo.
Most assists provided, overall finals
10, Pelé ( Brazil, 1958-1970)
Most assists provided in a tournament
7, Pelé ( Brazil, 1970)
Most assists provided in finals
3, Pelé ( Brazil, 1958 and 1970)
Most tournaments with at least one assist
4, Lionel Messi ( Argentina, 2006-2018) [12]
Most consecutive tournaments with at least one assist
4, Lionel Messi ( Argentina, 2006-2018) [12]
Kufika fainali sio hoja na kupiga kelele... hoja ni ndoo tuMwwmbie cr7 aipeleke ureno fainali kombe la dunia km messi alafu ndo umpe izo sifa