Lionel Messi Hana Sifa za Uongozi kama za Cristiano Ronaldo

Lionel Messi Hana Sifa za Uongozi kama za Cristiano Ronaldo

Hicho ni kipaji pia, wabongo wengi wanajua kupiga chenga ndio kuwa Bora, hivyo vichwa anavyopiga Ronaldo watu wachache Sana duniani wanaweza. Even NBA wanapocheza Basket wachache Sana wanaweza kuruka zaidi yake.

Ronaldo ana magoli 123 ambayo amefunga kwa vichwa, hizo sio namba za kitoto.

kipaji halisi hua kipo mguuni. ndio mana ukaitwa mpira wa miguu
 
kipaji halisi hua kipo mguuni. ndio mana ukaitwa mpira wa miguu
Vyema Basi ukawasilisha maoni yako FIFA waban matumizi ya kichwa, na Makipa pia wakatazwe kudaka na pia ipigwe marufuku mipira ya kurusha.
 
But it still doesn't erase the fact that Messi is an alien on the pitch
 
View attachment 1148981Tumeshuhudia Linel Messi kwa muda mrefu akisota na timu yake ya Taifa kuipa mafanikio tangu kombe la Dunia 2006 hadi mwaka jana 2018.
Tofauti na mafanikio makubwa aliyoiletea klabu yake ya Barcelona

Pamoja na kuwa na mastaa wengi, Argentina bado imeendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu kwa kuondolewa mapema kwenye mashindano muhimu kuanzia makombe yote ya Dunia Messi aliyoshiriki (ukiondoa ile ya Brazil ya mwaka 2014 ambako Argentina ilifika fainali), kwenye Copa America nk

Argentina inachokosa kikubwa ni uongozi
Kwenye uongozi kinachohitajika ni
  1. Inspiration - aweze kuwatia hamasa wenzake hata wakati wa hali ngumu
  2. Kujengewa wachezaji positive and winning mentality
  3. Communication - aweze kuwa medium/njia laini na rahisi ya mawasiliano- kusiwepo na gap ya mawasiliano yenye kusababisha mahusiano mabaya, magomvi na kutoaminiana kwenye timu
  4. Unification au kujenga timu kila mtu ajione ni sehemu ya timu na peke yake hakuna mafanikio
  5. Uzalendo - kwamba mafanikio ni lazima kwa ajili ya familia, marafiki, ndugu, nchi na awe tayari kujitoa mhanga kwa ajili ya hiyo
Hizo sifa zote Messi hana
  1. Messi is not a good communicator
  2. Ukimya wake unapitiliza na mara nyingi hana muda wa kuwatia ari na hamasa wenzake
TOFAUTI NAYE
Cristiano Ronaldo hizi sifa anazo na ndizo zilizomletea kupata mafanikio kwenye timu yake ya Taifa na wenzake wanampenda sana
Makosa makubwa timu nyingi za mpira zinafdanya ni kwa vile mchezaji ni mzuri uwanjani basi na wampee na unahodha wa timu wakati sifa za uongozi hana

Karibuni kama mna maoni, michango ijikite kwenye sifa za uongozi na sio uchezaji wa hao wawili
INGELIKUWA MESSI HANA SIFA YA UONGOZI BASI BARCELONA ISINGEKUWA NA MAFANIKIO.
BALI ARGENTINS YENYEWE WACHEZAJI NDIO WANASHINDWA KUONGOZEKA.
KILA MCHEZAJI ANATAKA KUJIFANYA YUKO JUU MATHALAN MCHEZAJI KAMA DYBALA.
ILA UKIANGALIA KU INSPIRE MESSI ANAJUA KU INSPIRE MFANO 2014 WORLD CUP KULIKUWA NA WATU WAZIMA WA KUSIKILIZANA ILA TOKA 2017 IINGIE KUMEJAA WATOTO WANAOJIFANYA WANAJUA KUMPA JAMAA WAKAT MGUMU.
ANGEKUWA MESSI INSPIRATION HAJUI MTU KAMA DEMBELE ASINGEKUWA ANAPANGWA MECHI HATA MOJA.
MFANO WA PILI NEYMAR ANAKWAMBIA KWAMBA HAKUPASWA KUONDOKA BARCA MAANA PSG ALIPO AMEKOSA MTU BORA WA KUMUONGOZA KTK UWANJA KAMA MESSI ALIVYOKUWA AKIFANYA BARCA.
NB;MATCH YA SPAIN MPK WAKALA SITA MESSI HAKUCHEZAH,QUALIFICATION ZA WORLD CUP 2018 MESSI ALIKUWA NJE KWA KUFUNGIWA MECHI TATU WAKACHEZA ARGENTINS WAKAPOTEZA MBILI NA KUOMBA RUFAA MESSI ARUDISHWE MECHI YA MWISHO NA NDIO HUYO MESSI AKAWAPATIA MAGOLI MATATU YA KUWAVUSHA KWENDA WORLD CUP 2018.
NB YA KUIZINGATIA ZAIDI;HATA RONALDO ANGEPEWA ARGENTINA ASINGEFANYA KITU MZEE BABA.ARGENTINA KWAZIA MANAGEMENT MPAKA WATOTO HAWA MABISHOO YATAKIWA KUPIGWA MSASA.
 
Hicho ni kipaji pia, wabongo wengi wanajua kupiga chenga ndio kuwa Bora, hivyo vichwa anavyopiga Ronaldo watu wachache Sana duniani wanaweza. Even NBA wanapocheza Basket wachache Sana wanaweza kuruka zaidi yake.

Ronaldo ana magoli 123 ambayo amefunga kwa vichwa, hizo sio namba za kitoto.
Kumbuka messi hapigi chenga peke ake.
Anatoa assist za magoli vilivyo.
Na mpaka sasa dunia ndiyo inamtambua kuwa greatest playmaker ever.
 
Kumbuka messi hapigi chenga peke ake.
Anatoa assist za magoli vilivyo.
Na mpaka sasa dunia ndiyo inamtambua kuwa greatest playmaker ever.
Kwenye Mashindano makubwa Kama Uefa champions League Messi kapitwa na Christiano Kwenye Assist, kapitwa pia na Giggs

Screenshot_20190710-190913__01.jpg

Na ukitaka uone mnyumbuliko wa stats za Messi nikuletee kwa makundi 16 Bora, robo, nusu etc

Messi anafunga na ku assist kwenye hatua za makundi na kidogo 16 Bora ila michuano inavyozidi kuwa migumu na yeye anapotea, kafanya hivyo world cup, anafanya hivyo copa America, Uefa champions League etc.
 
Kwenye Mashindano makubwa Kama Uefa champions League Messi kapitwa na Christiano Kwenye Assist, kapitwa pia na Giggs

View attachment 1150760

Ngojea nikachukue data ya ukweli sio yako hiyo ya kupikwa
 
Kwenye Mashindano makubwa Kama Uefa champions League Messi kapitwa na Christiano Kwenye Assist, kapitwa pia na Giggs

View attachment 1150760

Na ukitaka uone mnyumbuliko wa stats za Messi nikuletee kwa makundi 16 Bora, robo, nusu etc

Messi anafunga na ku assist kwenye hatua za makundi na kidogo 16 Bora ila michuano inavyozidi kuwa migumu na yeye anapotea, kafanya hivyo world cup, anafanya hivyo copa America, Uefa champions League etc.
Which player has the most assists in the world

# Player Assists player / team
5 Nuzzolo 14 35
6 Sancho 14 58
7 Fraser 14 40
8 Messi 13 59
 
Na tena ushangae Ronaldo kacheza mechi 174 mmbele ya messi na ratio zao zinafanana.
Pigia picha wangeanza kucheza sawa
Kwenye Mashindano makubwa Kama Uefa champions League Messi kapitwa na Christiano Kwenye Assist, kapitwa pia na Giggs

View attachment 1150760

Na ukitaka uone mnyumbuliko wa stats za Messi nikuletee kwa makundi 16 Bora, robo, nusu etc

Messi anafunga na ku assist kwenye hatua za makundi na kidogo 16 Bora ila michuano inavyozidi kuwa migumu na yeye anapotea, kafanya hivyo world cup, anafanya hivyo copa America, Uefa champions League etc.
 
Which player has the most assists in the world

# Player Assists player / team
5 Nuzzolo 14 35
6 Sancho 14 58
7 Fraser 14 40
8 Messi 13 59
Hebu tumia Hata akili ya kuzaliwa Mchezaji mwenye msimu mmoja Sancho na Fraser sijui wa Burnley Huyo watakuwaje great playmaker of All time Kama ulivyojinasibu huko juu? Let's stats zozote za Mashindano magumu nasubiria. Sitaki sijui coppa de la Rey, Mara sijui getafe hizo Sina shida nazo. Leta Mashindano Kama
-world cup
-copa America
-Champions league Etc
 
World Cup All time - Most Assists
Assists Assist name
6 Lionel Messi
5 James Rodriguez
5 Juan Cuadrado
4 Thomas Muller
4 Bastian Schweinsteiger
4 Eden Hazard
4 Kevin De Bruyne
3 Christian Ziege
3 Michael Ballack
3 Wesley Sneijder
3 Luis Suarez

HUYO NDIYO MWANAUMEEE
 
Lionel Messi is the all-time assist leader in Copa América history having delivered a total of 12 assists. He is also the all-time record holder of man of the match awards with 10 wins overall.
12 assists – Lionel Messi (1 in 2007, 3 in 2011, 3 in 2015, 4 in 2016 and 1 in 2019)
Most man of the match awards won in tournament's history
10 wins – Lionel Messi (2 in 2011, 4 in 2015, 3 in 2016, 1 in 2019)

HUYU NDIO KIDUME KAJIWEKEA HESHIMA BINAFSI LICHA YA TEAM KUFELI YEYE HAJAFELI
Hebu tumia Hata akili ya kuzaliwa Mchezaji mwenye msimu mmoja Sancho na Fraser sijui wa Burnley Huyo watakuwaje great playmaker of All time Kama ulivyojinasibu huko juu? Let's stats zozote za Mashindano magumu nasubiria. Sitaki sijui coppa de la Rey, Mara sijui getafe hizo Sina shida nazo. Leta Mashindano Kama
-world cup
-copa America
-Champions league Etc
 
World Cup All time - Most Assists
Assists Assist name
6 Lionel Messi
5 James Rodriguez
5 Juan Cuadrado
4 Thomas Muller
4 Bastian Schweinsteiger
4 Eden Hazard
4 Kevin De Bruyne
3 Christian Ziege
3 Michael Ballack
3 Wesley Sneijder
3 Luis Suarez

HUYO NDIYO MWANAUMEEE
Kuonyesha stats zako ni fake
1. Hakuna Mchezaji wa zamani Hata mmoja.
2. Pelle ana assist 10, Maradona ana assist 8 wamewazidi wote kwenye hio list
https://www.sportskeeda.com/footbal...er-pele-diego-maradona-statistical-comparison
 
Hiyo ni list ya wachezaji wa sasa contemporary players.

Kama unataka ya wachezaji wote hii hapa messi,Ronaldo hayupo.

Most assists provided, overall finals
10, Pelé ( Brazil, 1958-1970)
Most assists provided in a tournament
7, Pelé ( Brazil, 1970)
Most assists provided in finals
3, Pelé ( Brazil, 1958 and 1970)
Most tournaments with at least one assist
4, Lionel Messi ( Argentina, 2006-2018) [12]
Most consecutive tournaments with at least one assist

Mimi sijasema Ronaldo ni best playmaker of All time na Wala sitakuja kusema sababu hadeserve hio title, napinga tu maneno yako wewe uliyosema Messi ni best playmaker of All time hivyo usimuingize Ronaldo Hapo.

So kwa hizo stats ulizoleta mwenyewe unaonaje Pele na Messi Nani mkali wa Assist World cup?

Ukimaliza Hapo Leta na za Maradona na wengineo.

Na mwisho zinyumbulishe Kama nilivyodai kwa makundi na knockout stage maana nimekupa hoja na Nina ushahidi wa namba kabisa Messi ni mzuri hatua za makundi ila ikifika mtoano anapotea.
 
Back
Top Bottom