Hio comment ya juu si umeisema unairudia?
[emoji23] Halafu we jamaa ni muongo wewe, ujue kila kitu unachokisema nakigoogle.
2014 Robo fainali mechi ILikuwa ni kATi ya Argentina na ubelgiji, Argentina walishinda Goli 1 kwa 0 na Goli akifunga Higuain.
Kuanzia Robo, Nusu, Hadi Fainali Messi alikuwa anatembea tu.
Ushahidi huu Hapa Robo ilikuwa ni ARG na Belgium.
Argentina-Belgium live incidents, goals, cards, substitutions, lineups, statistics, formations
www.whoscored.com
Hata ukiangalia ratings za wachezaji watu Kama Garay (Man of The match), Higuain, Mascherano na Huyo beki wa kulia wote walicheza Vizuri zaidi ya Messi.