Lionel Messi Hana Sifa za Uongozi kama za Cristiano Ronaldo

Mimi sijasema Ronaldo ni best playmaker of All time na Wala sitakuja kusema sababu hadeserve hio title, napinga tu maneno yako wewe uliyosema Messi ni best playmaker of All time hivyo usimuingize Ronaldo Hapo.

So kwa hizo stats ulizoleta mwenyewe unaonaje Pele na Messi Nani mkali wa Assist World cup?

Ukimaliza Hapo Leta na za Maradona na wengineo.

Na mwisho zinyumbulishe Kama nilivyodai kwa makundi na knockout stage maana nimekupa hoja na Nina ushahidi wa namba kabisa Messi ni mzuri hatua za makundi ila ikifika mtoano anapotea.
Huo ni urongo kwasababu hzo hapo nilizokuletea zipo za nusu fainal na fainal uefa na world cup na copa America finals yeye ndiye alitoa assist Argentins.
 
Lionel Messi is the all-time assist leader in Copa América history having delivered a total of 12 assists. He is also the all-time record holder of man of the match awards with 10 wins overall.
12 assists – Lionel Messi (1 in 2007, 3 in 2011, 3 in 2015, 4 in 2016 and 1 in 2019)
Most man of the match awards won in tournament's history
10 wins – Lionel Messi (2 in 2011, 4 in 2015, 3 in 2016, 1 in 2019)

NA NAKukumbusha kaangalie mechi ya Argentins vs USA mnyama akishinda nne peke ake kuipeleka team final copa America 2016.
Na nakukumbusha tena kaangalie robo final World cup 2014 Argentins vs Switzerland messi akitoa assist kwa Dimaria kuipeleka team nusu final.
Usibwabwaje tu mkuu
Eka data maneno mengi ya nini?
 
Hio comment ya juu si umeisema unairudia?

😂 Halafu we jamaa ni muongo wewe, ujue kila kitu unachokisema nakigoogle.

2014 Robo fainali mechi ILikuwa ni kATi ya Argentina na ubelgiji, Argentina walishinda Goli 1 kwa 0 na Goli akifunga Higuain.

Kuanzia Robo, Nusu, Hadi Fainali Messi alikuwa anatembea tu.

Ushahidi huu Hapa Robo ilikuwa ni ARG na Belgium.

Hata ukiangalia ratings za wachezaji watu Kama Garay (Man of The match), Higuain, Mascherano na Huyo beki wa kulia wote walicheza Vizuri zaidi ya Messi.
 
Mleta uzi umejionea mwenyewe, wengine wamenza kujadili yao sio yale uliyowaongoza kujadili, ndi maana tunafeli hata mitihani sana sisi, mbali na kuwaongoza mjadala ujikite kwenye nini lakini wengine wameenda kivyao. (Mleta uzi naomba niende kidogo pembeni ya mada yako). Mimi naomba kufahamishwa ni jinsi gani tunaweza kupima ubora wa mchezaji, tukijikita kwenye hawa wawili wanaojadiliwa hapa, em tuwalinganishe katika career yao ya soka mpaka hapa walipofikia leo mafanikio yao tunayapimaje? Nani anastahili pongezi kubwa kwa mchango wake katika uchezaji mpira wake wa muda wote mpaka sasa?
 
Hio comment ya juu si umeisema unairudia?

[emoji23] Halafu we jamaa ni muongo wewe, ujue kila kitu unachokisema nakigoogle.

2014 Robo fainali mechi ILikuwa ni kATi ya Argentina na ubelgiji, Argentina walishinda Goli 1 kwa 0 na Goli akifunga Higuain.

Kuanzia Robo, Nusu, Hadi Fainali Messi alikuwa anatembea tu.

Ushahidi huu Hapa Robo ilikuwa ni ARG na Belgium.

Hata ukiangalia ratings za wachezaji watu Kama Garay (Man of The match), Higuain, Mascherano na Huyo beki wa kulia wote walicheza Vizuri zaidi ya Messi.
Oh nazungumzia knock out stage match ilowafanya wao kuingia robo fainali ilikua ni Switzerland vs Argentins.
Nimejichanganya.
 
Then niambie wewe mkuu robo, nusu na fainali kombe la Dunia hiyo michuano ana assist ama goli Hata moja?
 
Naona photoshop iko katika ubora wake. Embu atoke nje ya barca tuone ubora wake.
Lionel Messi is the all-time assist leader in Copa América history having delivered a total of 12 assists. He is also the all-time record holder of man of the match awards with 10 wins overall.
12 assists – Lionel Messi (1 in 2007, 3 in 2011, 3 in 2015, 4 in 2016 and 1 in 2019)
Most man of the match awards won in tournament's history
10 wins – Lionel Messi (2 in 2011, 4 in 2015, 3 in 2016, 1 in 2019)
Fastest goal scored in tournament's history
68 seconds – Kily González v. Uruguay (1

Angekuwa hajiwez asingeweka hzo records
 
Hizo record pia ukumbuke copa America siku hizi haichezwi Tena kila baada ya miaka 4 Kama zamani, mfano 2015 ilichezwa na 2016 ikachezwa hivyo ana advantage ya kucheza mechi nyingi zaidi, na kuweka record zaidi Tofauti na Enzi za kina De Lima, Rivaldo, Maradona etc ambao wao walicheza michuano michache.
 
Then niambie wewe mkuu robo, nusu na fainali kombe la Dunia hiyo michuano ana assist ama goli Hata moja?
Lakini mchango wake ulionekana ni wa kusifiwa sio kulaumiwa hatta kidogo.
Maana hata ukizungumzia Uefa national league Ronaldo kashinda nusu fainal tu mechi zingine sijui alikuwa wapi.
Na final hajafunga yeye.
Messi kuipeleka team iingie robo final ni mchango mkubwa ukizingatia team yenyewe ilikua Switzerland aisee.
 
Then niambie wewe mkuu robo, nusu na fainali kombe la Dunia hiyo michuano ana assist ama goli Hata moja?
Google uangalie 2016 man of the match copa america nusu fainal alikuwa nan km sio messi.
Goal moja assist mbili
 
Sawa hana kombe ila tumuangalie yeye kwa records binafsi je kaweza kutetea career yake km mchezaji nguli?
Maana ht ukizungumzia hivyo mbappe ana world cup lakin hana records binafsi za kumfanya awe best player km alivyoweka modric.
Au vigezo vya mchezaji bora huvijui jombaa?
Let me trace you back 2013.Ronaldo hakupata kombe hata moja na Realmadrid yake.
Walikosa vikombe vyote lakini ballon d,or kapewa Ronaldo.
Ilitumika kigezo cha tuzo binafsi na records binafsi ndio maana akapewa ballon d,or.
Au hilo ww hufaham unabwabwaja tu mzee.?!
Kama ingekuwa uchezaji bora makombe tu basi ballon d,or 2013 wasingeangalia records binafsi za Ronaldo za kuongoza magoli wangempa Frank Ribery.
Siku nyingine mnafaa kutizama full qualifications za best player kabla hamjaropoka km hv.
Sasa kuna haja gani ya kuvutia wakati makombe huna?
 
Mbape kachukua mchezaji Bora chipukizi kombe la Dunia lililopita.
 
Huu uzi ni kuhusu uongozi na wala sio uchezaji jamani, najua mna mahaba zenu sana
Kwani kuna ulazima wa kumlinganisha na Ronaldo?

1151218
 
Back
Top Bottom