steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Haende kufanya nini?
Hakuna timu bora kama barca ambyo Messi anaweza kwenda kuchezea!
Haina hiyo bro,anaelewa fika nje ya barca hana ukali wowote,ni mwepesi zaidi za unyoya,tunayaona hayo akiwa na timu yake ya Taifa anavyotia huruma.
Kwangu mimi hata afanye nn akiwa na barca,si kitu,ajaribu kwingine halafu afanye hivyo hivyo ndio nitamkubali,kama magalactico wengine vile walivyofanya. Zizzou,Dihno,Di lima,CR7, kwa uchache