Lionel Messi ni wakati wa kupewa jina analostahili

Lionel Messi ni wakati wa kupewa jina analostahili

Haende kufanya nini?

Hakuna timu bora kama barca ambyo Messi anaweza kwenda kuchezea!

Haina hiyo bro,anaelewa fika nje ya barca hana ukali wowote,ni mwepesi zaidi za unyoya,tunayaona hayo akiwa na timu yake ya Taifa anavyotia huruma.

Kwangu mimi hata afanye nn akiwa na barca,si kitu,ajaribu kwingine halafu afanye hivyo hivyo ndio nitamkubali,kama magalactico wengine vile walivyofanya. Zizzou,Dihno,Di lima,CR7, kwa uchache
 
Mafans wa Ronaldo mnatabu sana...kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa King Messi akienda kwenye ligi ingine hawezi kuwika!!!? Mtu huyo huyo anazifunga tim zote bora zinazotoka kwenye hizo ligi ambazo unawaza kichwani mwako kuwa hawezi kuwika kwenye ligi hizo! Dah yani upofu mwingine wa ajabu sana 🤗🤗 hapa duniani hakuna ligi unayoijuwa wewe ambayo King akienda kucheza hawezi shine kama alivyo pale spain sema ni mambo tu ya kibiashara muajiri wake hataki kumuachia na anachokitaka mwenyewe anatimiziwa na pia yeye mwenyewe kuwa royal kwa tim yake...King si wa kawaida. Na hiyo michezaji uloitaja haimfikii hata robo Messi...alikuja Diego maradona kujifananishanae, kisha pele and now Ronaldo 😂😂...since soka lianze kuchezwa mpaka now hakuna kama King Messi...full stop!!
 
Mafans wa Ronaldo mnatabu sana...kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa King Messi akienda kwenye ligi ingine hawezi kuwika!!!? Mtu huyo huyo anazifunga tim zote bora zinazotoka kwenye hizo ligi ambazo unawaza kichwani mwako kuwa hawezi kuwika kwenye ligi hizo! Dah yani upofu mwingine wa ajabu sana 🤗🤗 hapa duniani hakuna ligi unayoijuwa wewe ambayo King akienda kucheza hawezi shine kama alivyo pale spain sema ni mambo tu ya kibiashara muajiri wake hataki kumuachia na anachokitaka mwenyewe anatimiziwa na pia yeye mwenyewe kuwa royal kwa tim yake...King si wa kawaida. Na hiyo michezaji uloitaja haimfikii hata robo Messi...alikuja Diego maradona kujifananishanae, kisha pele mwenye domo ka bakuli, and now Ronaldo 😂😂...since soka lianze kuchezwa mpaka now hakuna kama King Messi...full stop!!

Tehe teh teh,kama usingekuwa na upofu kwa kumpenda messi kupita kiasi, hii hoja yangu isingekupa tabu kuielewa mkuu,hivyo tu
 
umeandika ndefu sn
Na nimesoma bila kuacha hata "hurfi"moja na nikarudia mara kadhaa huku sura yangu ikiachia tabasamu pana sana na taswira ya lionel messi ikipita latika macho ya fahamu nikiangalia playback zilizojihifadhi katika vishubaka vya kumbukumbu vya ubongo wangu!
Hakika huyu ni mfalme!
 
Maneno kuntu kabisa,,hakika huyu ndiye original king.
 
Back
Top Bottom