Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mwamba.Mleta uzi punguza hilo neno mwamba mwamba kila sentensi linakata stimu
Lionel Richie hakuimba Nightshift. Wimbo huo ulitoka mwaka 1985 wakati Lionel alijitoa The Commodores mwaka 1982.Mbona mnausahau wimbo wa night shift akiwa na the commodoles
Amna mkuu, kwangu mimi sometimes huwa naona ni unafiki mkubwa kumsifu mtu baada ya kifo. Ni bora kumpa mtu sifa zake pindi akiwa hai ili afurahi kwa kazi nzuri aliyo/anayoifanya.nilivyosoma jina kabla sijamaliza, nikawaza kuwa ameambatana na queen wa uk au??
Ulichoandika hapa hakiondoi fact kuwa kuna watu hawamjui. Hio ndio USA kuna kila aina ya watu.In his Hey Time / Peak mtu ambaye alikuwa hamjui Huyu Jamaa ni either alikuwa anaishi behind a rock somewhere au yupo kwenye coma, Kumbuka on those days competition pia haikuwa kubwa..., uki-hit ni redio zote na media zote..., pia choices za entertainment hazikuwa nyingi kama sasa...
Hivyo basi in his peak times kutomjua huyu au Whacko Jacko basi wewe unahitaji udating your current affairs (kumbuka kumjua sio necessarily Kumpenda)
Mwanzo sikua nimemwelewa RRONDO ila baada ya kufafanua comments yake aliosema unadhan wazungu watupenda basi waafrica,hapo ndio nikaelewa kwanin muuza magari alijibiwa vileOk mkuu, hiyo ilikuwa mwaka gani, maybe it was long time before he became a fame.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mleta uzi punguza hilo neno mwamba mwamba kila sentensi linakata stimu