LIONEL RICHIE: Mwamba na mtawala wa muziki wa Funk, Soul, Rhythm, Blues and country music

LIONEL RICHIE: Mwamba na mtawala wa muziki wa Funk, Soul, Rhythm, Blues and country music

In his Hey Time / Peak mtu ambaye alikuwa hamjui Huyu Jamaa ni either alikuwa anaishi behind a rock somewhere au yupo kwenye coma, Kumbuka on those days competition pia haikuwa kubwa..., uki-hit ni redio zote na media zote..., pia choices za entertainment hazikuwa nyingi kama sasa...

Hivyo basi in his peak times kutomjua huyu au Whacko Jacko basi wewe unahitaji udating your current affairs (kumbuka kumjua sio necessarily Kumpenda)
Ulichoandika hapa hakiondoi fact kuwa kuna watu hawamjui. Hio ndio USA kuna kila aina ya watu.
 
Back
Top Bottom