LIONEL RICHIE: Mwamba na mtawala wa muziki wa Funk, Soul, Rhythm, Blues and country music

Unawajua wazungu wewe? Unafikiri USA ni kama Tz wote mnamjua Diamond sijui Kiba. USA a lot of people dont give a fcuk! Hiki niklicoandika Lionel Ritchie alisimulia mwenyewe kwenye Top Gear akihojiwa na Jeremy Clarkson.
Upo sahihi, wazungu wapo wasiofuatilia. Tulikua na project moja na Oxford university, Yule Dada mserbia mwenye uraia wa Uingereza nilikua nikimtajia wanamziki waliokua wapo on peak kipindi kile alikua hawafahamu, at least akamtaja Beyonce.
Wana manyimbo yao huko ,ma "housing" "country" "rock" n.k
 
Ulichoandika hapa hakiondoi fact kuwa kuna watu hawamjui. Hio ndio USA kuna kila aina ya watu.
Kwa logic yako hio kipindi Yupo on Peak (Sio sasa ambapo majority sio US to bali duniani hawamjui) ni kwamba uwezekano wa Jamaa kujulikana US ulikuwa ni mkubwa kuliko hata ulivyosema Diamond sasa kujulikana Bongo,

Unless otherwise hao watu hawaangalia billboards, hawaoni tshirts, hawafungulii redio wala TV (kipindi hicho TV ndio pass time ya kila mtu) hawajui chochote kuhusu Music wala habari za kila siku na hawaelewi music ni nini..., Hata wapenda Country ni kwamba wanaelewa music na this guy was among the music guys at that time...

Ila ukitaka uende technically we can apply the same to Diamond hence your point kwamba Diamond anajulikana na kila mtanzania is Null and Void and there is nothing different about US and TZ in that regard
 
Upo sahihi, wazungu wapo wasiofuatilia. Tulikua na project moja na Oxford university, Yule Dada mserbia mwenye uraia wa Uingereza nilikua nikimtajia wanamziki waliokua wapo on peak kipindi kile alikua hawafahamu, at least akamtaja Beyonce.
Wana manyimbo yao huko ,ma "housing" "country" "rock" n.k
Mkuu tofauti ya 90's 70's na 80's ni kubwa sana sasa hivi kuna quantity ya wasanii na genres ni nyingi sana....

Kuna hawa watu Beatles 70's, Michael Jackson (at his peak), Lionel Richie kwenye 86..., Bob Marley kwa every reggae fan...., hawa watu kipindi hicho nyimbo zao zilikuwa kama national (world anthem) kwahio hata kwa wasiopenda music ni ngumu kutowajua (mfano waafrika ingawa hawapendi golf ila wanamjua Tiger Woods) wasiopenda basket walimjua Michael Jordan...

Sasa ni tofauti inawezekana hata jirani yake Diamond na hizi stress za tozo, entertainment kuwa lukuki n.k. asimjue hata diamond akadhani unaongelea lile jiwe.... Kwahio hapo its nothing to do with rangi au ubaguzi per se....
 
Kwa logic yako hio kipindi Yupo on Peak (Sio sasa ambapo majority sio US to bali duniani hawamjui) ni kwamba uwezekano wa Jamaa kujulikana US ulikuwa ni mkubwa kuliko hata ulivyosema Diamond sasa kujulikana Bongo,

Unless otherwise hao watu hawaangalia billboards, hawaoni tshirts, hawafungulii redio wala TV (kipindi hicho TV ndio pass time ya kila mtu) hawajui chochote kuhusu Music wala habari za kila siku na hawaelewi music ni nini..., Hata wapenda Country ni kwamba wanaelewa music na this guy was among the music guys at that time...

Ila ukitaka uende technically we can apply the same to Diamond hence your point kwamba Diamond anajulikana na kila mtanzania is Null and Void and there is nothing different about US and TZ in that regard
Sawa.
 
Alitunga pia wimbo wa I'm missing you wa Miss Diana Ross.

Moja ya nyimbo kali sana kutokea.
Shukran sana mkuu kwa taarifa hii ambayo wengi walikuwa hawaifahamu kuhusu huyu mwamba.
 
Huyo mzee ni legend bi mkubwa aliwahi nambia alikuwa anamsikiliza enzi hizo anasoma nikapiga salute [emoji1430][emoji28]
Ukiona msanii amekubaliwa na wazee au wazazi na sisi vijana, juwa huyo msanii ni kiboko. Kwa jina lingine unaweza kumwita GOAT.
 
Back
Top Bottom