atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Bado unaendelea kumkera dada wa familia witnessjHii ngoma mpaka leo haiishi ladha yake. Mwamba ana kipaji ambacho wengi hawajakifikia mpaka leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unaendelea kumkera dada wa familia witnessjHii ngoma mpaka leo haiishi ladha yake. Mwamba ana kipaji ambacho wengi hawajakifikia mpaka leo.
Upo sahihi, wazungu wapo wasiofuatilia. Tulikua na project moja na Oxford university, Yule Dada mserbia mwenye uraia wa Uingereza nilikua nikimtajia wanamziki waliokua wapo on peak kipindi kile alikua hawafahamu, at least akamtaja Beyonce.Unawajua wazungu wewe? Unafikiri USA ni kama Tz wote mnamjua Diamond sijui Kiba. USA a lot of people dont give a fcuk! Hiki niklicoandika Lionel Ritchie alisimulia mwenyewe kwenye Top Gear akihojiwa na Jeremy Clarkson.
Kwa logic yako hio kipindi Yupo on Peak (Sio sasa ambapo majority sio US to bali duniani hawamjui) ni kwamba uwezekano wa Jamaa kujulikana US ulikuwa ni mkubwa kuliko hata ulivyosema Diamond sasa kujulikana Bongo,Ulichoandika hapa hakiondoi fact kuwa kuna watu hawamjui. Hio ndio USA kuna kila aina ya watu.
Mkuu tofauti ya 90's 70's na 80's ni kubwa sana sasa hivi kuna quantity ya wasanii na genres ni nyingi sana....Upo sahihi, wazungu wapo wasiofuatilia. Tulikua na project moja na Oxford university, Yule Dada mserbia mwenye uraia wa Uingereza nilikua nikimtajia wanamziki waliokua wapo on peak kipindi kile alikua hawafahamu, at least akamtaja Beyonce.
Wana manyimbo yao huko ,ma "housing" "country" "rock" n.k
Sawa.Kwa logic yako hio kipindi Yupo on Peak (Sio sasa ambapo majority sio US to bali duniani hawamjui) ni kwamba uwezekano wa Jamaa kujulikana US ulikuwa ni mkubwa kuliko hata ulivyosema Diamond sasa kujulikana Bongo,
Unless otherwise hao watu hawaangalia billboards, hawaoni tshirts, hawafungulii redio wala TV (kipindi hicho TV ndio pass time ya kila mtu) hawajui chochote kuhusu Music wala habari za kila siku na hawaelewi music ni nini..., Hata wapenda Country ni kwamba wanaelewa music na this guy was among the music guys at that time...
Ila ukitaka uende technically we can apply the same to Diamond hence your point kwamba Diamond anajulikana na kila mtanzania is Null and Void and there is nothing different about US and TZ in that regard
Na huu wimbo ulitungwa maalumu kwa ajili ya kumuenzi mkali mwingine, Marvin Gaye.Shukran sana mkuu kwa taarifa hii ambayo wengi walikuwa hawaifahamu kuhusu huyu mwamba.
Ukiona msanii amekubaliwa na wazee au wazazi na sisi vijana, juwa huyo msanii ni kiboko. Kwa jina lingine unaweza kumwita GOAT.Huyo mzee ni legend bi mkubwa aliwahi nambia alikuwa anamsikiliza enzi hizo anasoma nikapiga salute [emoji1430][emoji28]