DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Its Loyal Family clan system Heritage..Sasa kwa nini familia fulani tu iwe na hiyo special class ya kutoa leaders katika nchi au eneo zima ? Hili lilianzaje na hiyo familia ilipatikanaje ?
Ngoja nijaribu kukujibu..
Zamani Koo zilikuwa zinahama hama sana Kutokana na kutafuta Sehemu yenye Rutuba kwa ajili ya Kilimo au Kutokana na Kutafuta malisho ya Mfugo yao..
Kumbuka Familia Ilipokuwa inaongezeka kulipatikana Ukoo...Ukoo ulipoongezeka Kulikuwa na Haja ya kupata Kiongozi katika Ukoo huo na hapo ndo alipokuja Kupatikana kiongozi wa ukoo lets say kiongozi Wa ukoo wa Mushi..
Lakini ukoo unakuwa Mkubwa na koo zinaongezeka ndani ya ukoo na kupatikana koo kadhaa Ambazo kila koo zina kiongozi wake koo ya Mushi ,Koo ya Mramba,Koo ya Kimario ,Koo ya Mangi, Koo ya Mshana n.k..
Hizo zote zikiwa pamoja huitwa jamii ...
Sasa kila jamii huona ni bora Viongozi wote wa kila koo kukaa na kuchagua kiongozi mmoja ambaye kwa pamoja ataongoza Jamii hizo na hapo ndo zikaja Asili Za Majina kama Utemi,Mangi, Sultani n.k
Hawa viongozi hutokana na umahili wa Koo zao kwa mfano Ukoo wenye Watu Hodari majasiri Wa Vita baina jamii zingine na wenye uwezo wa Kuorganise wengine kufanya mambo na yakafanikiwa ndo ulipewa Heshima ya Loyal family japo zilipokezana yaani Waliamini Damu au Ukoo huo ndyo unaowwza tu na waligawana kabisa kuna koo za kivuvi, Koo ambazo Ni washauri tu kuna koo zenye uwezo wa Kulima tu n.k..
sasa kama kadhalika Jamii zikiwa Nyingi upande mmoja vita huwa mara kwa mara kutaka nani awe kiongozi sasa kundi lenye nguvu kuliko jamii yote ndo hutoa kiongozi na kama litaendelea kuwa na nguvu lwa muda mrefu bila kutokea jingine ndo huweka imaya Ngumu na Hapo ndo Huwa ni kiongozi wa Jamii zote na mtu huyo huitwa Mfalme..
Umenielewa sijui kama unaswali nakukaribisha..
CC: So special