Ok mkuu Yoda!
Ngoja Nijaribu kukujibu...
Nilibahatika kuelimishwa katika Baadhi ya Museum (British Museum)kuhusu Hiyo History Ambayo hata mimi ilinichanganya kuhusu Royal History sasa nisikilize..
Tawala Zote za kifalme za Uingereza zinarudi nyuma mpaka Kwenye
Anglo-Saxon Period hapo nazungumzia miaka ya
410 AD mpaka miaka ya 1060.. (Baada ya hapo kuna maswala ya Viking invasion nk)
Hapo ndo utakuta Kuna Koo tatu Kuu kutoka Makabila ya Kijerumani (
Germanic tribes) nazungumzia
Angles,
Saxons, na
Jutes.
Baada ya Roman Empire kuanguka Magharibi karne ya 5 miaka ya 400s ndo chanzo cha watu kuanza kuwa disorganised...
Sasa kuhusu Hizo koo/Kabila.. nakuchambulia hapa..
- Angles: Hawa wanaaminika kutoka sehemu za Angeln, ambapo sahz ni kusini mwa Denmark na kaskazini mwa Germany.
- Saxons: Hawa Saxons Wanatokea Kaskazini mwa Germany na Netherlands.
- Jutes: Original ya Jutes bado haiko clear but Wana assume kuwa huenda ni Jutland Peninsula, ambayo sasa hivi ni part ya Denmark and Germany.
Sasa ilikuwaje mpaka tukafika hapa kwa Hizi familia na Hizi koo za Leo Nifatilie
hawa walianza kuMigrate kwenda Uingereza Miaka hiyo ya Karne ya 5 baada ya Roma kujiondoa Kutawala Maeneo hayo..
Koo hizi zote zilikuwa na Viongozi wake na zinatawala kwa sehemu zake..
lets make Story short..
Ufalme wa Kwanza wa Uingereza ikiwa kama Unified Kingdom...
Ulianza kwa mfalme
Æthelstan ambaye alikuwa mfalme wa
Wessex mwaka 924..
Huyu ndo anahesabika Mfalme mwenye Nguvu kuliko Wote maana alifanikiwa Kuumganisha Viongozi wote kutoka makabila mbalimbalia na akaform unified Kingdom ya makabila na familia zote.. (Alitoka kwemye Familia ya Wessex)..
Na baada ya kufa kaka yake
Edmund ndo alitawala..waliendelea kutawala mpaka waliposhindwa na Norman (Norman Conquest 1060)..ambaye ndo alianzisha
House of Normand..
Na baadae Utawala ukaenda kwa
Plantagenets
ni Historia ndefu sana ila nitakuelekeza kuhusu Hizo Family and home kwa kifupi..
- House of Wessex (England): Hii inaweza kuwa moja ya Original na chimbuko lake Lipo mpaka Anglo-Saxon period, nafikiri unamfahamu Alfred the Great na wengine nimeshawaelezea...
- House of Tudor (England and Wales): Hii House ilianzishwa na Henry VII (ambaye Alikuwa mtoto wa Edmund Tudor na mama yake alikuwa Margaret Beaufort (House of Beaufort) kwahiyo baba yake alimuo mama yake Ndipo.house ya Beaufort ilipokufa na kuungana na House of Tudor........Na yeye alimuoa Elizabeth the york ili.kuunganisha ukoo fulani..."Kiufupi ili kuua Familia fulani ya Ukoo Fulani Lazma muunganishe Damu kwahyo one royal Family ilikuwa inaoa Royal famili moja na zote zinakuwa House moja"
- House of Stuart (England and Scotland): James VI of Scotland became James I of England in 1603, leading to the Stuart dynasty. The English Civil War and Glorious Revolution significantly influenced this house.
- House of Hanover (Great Britain): The Act of Settlement in 1701 brought the House of Hanover to the British throne with George I. Notable monarchs include George III and Victoria.
- House of Windsor (United Kingdom): In 1917, due to anti-German sentiment during World War I, the British royal family changed its name to the House of Windsor. Queen Elizabeth II is a member of this house.
Kuna historia kubwa sana na ningependa kuijibu kwa Njia ya maswali kama utaweza maana Kwa maelezo ni mengi sana yaani sana..
Hii ni kama zamani familia ya Mfalme fulan ili kuunganisha ufalme unaenda kuoa kwa falme fulan ili kuunganisha ufalme..
Karibu