Lipi lilikuwa jina lako la utani shuleni au kazini?

Lipi lilikuwa jina lako la utani shuleni au kazini?

Kuna wengine hadi leo yamekolea hadi kuwa sehemu ya maisha yao.

Mimi waliniita MANDINGO, linipofatilia lilikuwa jina la mcheza porno wa kiume😃😃, sababu nilikuwa napenda wasichana sana na walinipenda pia.
MANDINGO,
tukiwa advance, unakumbuka first time akina Bwax, Mayeye na man computer walivyokuvutisha bangi first time ulivyokua unapiga mayowe huku unakimbia ukiwa mtupu?🐒
 
Enzi nipo shule early 2000's nilifahamika kama Abeid Mulenda forward Moja hatari alipita pale msimbazi
 
Back
Top Bottom