Lipi lilikuwa jina lako la utani shuleni au kazini?

Lipi lilikuwa jina lako la utani shuleni au kazini?

MANDINGO,
tukiwa advance, unakumbuka first time akina Bwax, Mayeye na man computer walivyokuvutisha bangi first time ulivyokua unapiga mayowe huku unakimbia ukiwa mtupu?🐒
Kumbe mnajuana,hata wewe utakuwa unavuta hiyo sigara bwege!
 
Hapa kazini kuna mdada anaetuuzia matunda, tumempatia jina "MAMII MAKEBO"🍑 kwanini tumemuita hivyo, well ni siri yangu😁😁
Hapo utakuta upo kwa shemeji yako umebinua tako kwenye sofa na kisimu chako cha mkopo,na wewe eti unajifanya ''Hapa kazini'' yani alipoolewa Dada yako ndio unapaita kazini?

Toka hapo kwa shemeji yako na ukatafute kazi ya kufanya,muda haumsubiri mtu,angalia usije ukawapa watu kazi ya kuja kukulea uzeeni mwako,ungekua una kazi ya kufanya usingekua muda wote unawaza ID za wanaume humu,kumshobokea mwanaume kwenye kila comment yako ni dalili ya kutaka akuchomekee.

Makebo
Kubwa la Maadui
 
Back
Top Bottom