Toto tembo๐Bonge nyanyaโน๏ธ
๐๐๐ ๐ ๐Mkongo
Kuna mwalimu mmoja aliniita "big potato"โน๏ธToto tembo๐
MANDINGO,Kuna wengine hadi leo yamekolea hadi kuwa sehemu ya maisha yao.
Mimi waliniita MANDINGO, linipofatilia lilikuwa jina la mcheza porno wa kiume๐๐, sababu nilikuwa napenda wasichana sana na walinipenda pia.
Watajua wenyeweHizi ni mada zimekaa kimkakati wa kujuana
Matunda aina gani hayo?!Anayo wauzia nyie wa kazini tu??Hapa kazini kuna mdada anaetuuzia matunda, tumempatia jina "MAMII MAKEBO"๐ kwanini tumemuita hivyo, well ni siri yangu๐๐