Lipi ni bora, kuwa muhuni yani nitoke nje ya ndoa au kuachana na huyu mwanamke?

Endapo mwanamke amewahi kukusaliti kisha ukajua na akaomba msamaha, usije ukajidanganya kwamba amebadilika kwamba hatorudia. Atatudia tu, awamu ijayo yamkini akabadilika ili usijue anayotenda.

Usije msamehe mtu msaliti ktk mahusiano.
 
Embu achana na mambo ya watoto! Maana ukiwaendekeza hao watoto ndio kifungo chako! Wewe piga chini huyo hafai na usishangae hao wote anaowasiliana nao wapo hapo hapo mkoa mnaokaa.
Tafuta tu namna ya kuweza kulea mtoto wako huyo. Siku mkija pata mtoto wa pili huyo atakua sio wako..mark my words

Nb; Furaha yako ni ya Muhimu. Watu wamezaa huko na mwanamke wa kwanza, 2 anakuja kupata mke wake aliye pangiwa na Mungu.
Nilikuja kugundua kumbe hawa wanawake tunao waowa wengine sio wake zetu ndo maana tunakutana na changamoto kila kukicha.Ulimwengu wa roho unaikataa ndoa hizo.
 
Pole sana,
Ni ngumu sana kushauri juu ya mahusiano, ila hapo umepigwa na kitu kizito. Mtù akishazalishwa, kwa asilimia kubwa lazima awe na mawasiliano na mzazi mwenzake, na baadhi yao hawana utulivu, hawatulii na mwanaume mmoja

It's up to you!
 
Pole sana,nimewah kuwa na mtoto mmoja ,kuja jamaa alkua na mawasiliano nae sana akasema ni kaka yake,nikamhack pia nilichokiona ni noma
Nilimpa ushahidi mbele ya rafiki zake wawili na nikapiga chini hapo hapo,
Achana na huyo mwanamke na ikibidi beba mtoto wako
 
Us Usiseme kwa ajili ya watoto sema kwa ajili ya mwanangu , daah we jamaa una moyo sana cha kufanya hapo ni kusepa na mwanao kimya kimya tu
 
....inaendeleeeea???
 
Vumilia tu mkuu...🤣
Nendeni mkasuluhishane tena kwa wazee, kisha muombane msamaha....😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…