Lipi ni bora, kuwa muhuni yani nitoke nje ya ndoa au kuachana na huyu mwanamke?

Hiyo n mbaya sana na nimesha move tayari
 
Nmeshafanya hvyo mkuu
 
Amesema harmonize kinachouma si break up but mazoea... Pole sana na Mungu akuongoze.
 
Tunaishi duniani kila siku usifanye kesho yako kuwa chungu kwaajili ya mtu ambaye ukifa anaingia sokoni chap.....
Acha kuomba omba ushauri, beba begi sepa badili namba ukishindwa kubadili namba, usihudhurie kikao chochote cha usuluhishi, meseji zake usisome akituma futa simu usipokee

Pambana fanya namna uwe unatumia mahitaji ya chakula na mavazi kwaajili ya mwanao ( usitume hela cash kamwe nunua vitu tuma boda apeleke)

Anza maisha upya utapata mwanamke mbele ya safari, hakikisha tu asikuyumbishe ukaribu na mwanao.

Ukipata gono au ukiua kwaajili ya hasira hao hao wanakushauri ubaki ndo watakusema pembeni.

MWANAMKE ANAETOKA NJE, TENA NA MWANAUME ZAIDI YA MMOJA NI MALAYA HUYO ACHA UJINGA WA KUSAMEHE PENYE HAMNA
 
Sikuwa naamini kwamba kila single mother n mjinga au mshenzi ila ninaiman HUYU niliye nae ni mpumbavu tu na kutokujitambua,japo nahisi s wooote wapo hvyooo
Bado unaendelea tena na makosa yale yale ya kuwaamini singo maza et sio wote.

Mbona unamiaka mingi ila akili chache hivyo?

Umemfuma akarudia tena bado unajifanya hujui nini cha kufanya una akili kweli???????

Unadharirisha uanaume
 
Bado unaendelea tena na makosa yale yale ya kuwaamini singo maza et sio wote.

Mbona unamiaka mingi ila akili chache hivyo?

Umemfuma akarudia tena bado unajifanya hujui nini cha kufanya una akili kweli???????

Unadharirisha uanaume
Mpaka nmefika apa nilipo nmekuzwa na single mother s kwamba wote wapo hvyo ila sikatai kwamba hawako sawa maana Mimi baada mama kusepa mzee alipata single mother akakaa nae na nililelewa na single mother huyo mpaka namaliza chuo na kuanza kazi ndipo nilipokosa hayo malezi yake..,ndilo nilikuwa namaanisha hvyo japo Bado wapo na mzee mpaka sasa napotype hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…