ngenya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,313
- 1,773
Usiogope ujenzi, wewe anza tu.... utamaliza.Mkuu, wanatishia nini, tunaomba mawazo yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiogope ujenzi, wewe anza tu.... utamaliza.Mkuu, wanatishia nini, tunaomba mawazo yako
Tunatishana sana aiseeKazi yenu kutisha wenzenu tu.
Dadavua kidgo mkuuu. Tupe maarifa.Hiyo bei iko juu sana chief 1sqm ni laki 5 mpk 6 hauna haja ya kutumia mkandarasi mtafute mtaalam wa ujenz aifanye kaz kwa ufanisi
Hakika nami nasubiri Kwa hamu.Dadavua kidgo mkuuu. Tupe maarifa.
Ina maana Chawa Mwijaku katuongopea kuhusu gharama za ujenzi wa ghorofa lake, 1.3B??Wanatisha watu tu. Ghorofa nyingi za kawaida ni 120-250m tu. Sasa huku mtaani watu wana nyumba za chini 50-70m zaidi ya tano utashindwa kujenga ghorofa ukiamua? Mimi binafsi sina mzuka na ghorofa ila mwenzangu humwambii kitu.
Hakuna nyumba ya 1.3b pale. anajifurahisha tu.Ina maana Chawa Mwijaku katuongopea kuhusu gharama za ujenzi wa ghorofa lake, 1.3B??
kwa wale wanao tumia kampuni za ujenzi, lazima gharama ziwe juu sana.Tunatishana sana aisee
Katika ujenzi kuna kitu kinaitwa estimation yaani makadirio ya ujenzi haya. Yamegawanyika katika makundi mawiliDadavua kidgo mkuuu. Tupe maarifa.
100M +Mkuu ghorofa moja juu yenye 92sqm inaweza kunila bei gani kwenye kiwanja flat
Mkuu, msisitizo wako ni mzuri. Ila umeamua kutisha watu kwa kiasi chake. Laini 6 za nondo za 16mm hazina ulazima wowote kwenye ujenzi wa structural members za nyumba ya ghorofa 1.Habari Tajiri, naomba kuongea facts kama mtu mwenye experience ya kujenga ghorofa kwa kufuata standards zake. Ujenzi wa ghorofa ni gharama gharama saana kwa kuwa framework ya ghorofa ni columns and rows(beans) matofali ni kama cover tuuu ya framework na framework inaundwa kwa chuma and concrete KUMBUKA kwenye ujenzi chuma na concrete ni the most expensive items. But nyumba ya kawaida matofali ni framework yenyewe.
Mtu akikwambia ghorofa ni bei rahisi ni hajacomply na standards za ghorofa sehemu ya columns inataka lines sita za nondo za 16 mm yeye anaweka line nne nondo 12mm baada muda anakuja kusema kwamba ghorofa sio bei kubwa asikudanganye. Ujenzi una standards zake ndio maana Kuna nyumba ziba miaka mitatu Zina nyufa kama pundamilia.
Ushauri wangu kwako.
Gharama ya ghorofa Moja let's say ya 18m*12m unaweza kujenga nyumba za chini Kali zaidi ya mbili. Mimi nakushauri Jenga nyumba ya chini Kali mbili kuliko ghorofa japokuwa sawa ghorofa Lina net asset value kubwa. Invoice za ghorofa sio mchezo unaweza kuongea pekee Yako.
Ingekuwaghorofa kujenga ni rahisi au tofauti ingekuwa ni 30% watu wengi wangejenga jiulize why maghorofa ni machache saaaana ya watu binafsi hapa mjini?
Mbona unakuwa mkali ndugu yangu 🤣Wakandarasi msitutishe
Though inategemea na ukubwa wa ghorofa lakini hii UrongoShughuli ipo pia kwenye ujenzi wa slab ya first floor. Nondo peke yake ni zaidi ya milioni 15.
HUwa arround 800mNipeni gharama zake nataka niitoe Kama ilivyo
Yes hapo kadanganya sana fikiria slab ya mita 6 kwa 7 hii nyumba simple tu room moja chini,sebule,dining,jiko,public toilet juu room 2 zote master na balcon haiwezi tumia M15 imezidi sana ni M10 ila hapa dah!Though inategemea na ukubwa wa ghorofa lakini hii Urongo
Ndugu yangu,mimi hii ni ndoto yangu kujenga ghorofa, nimefanya utafiti wa kina miaka kama 6 hivi nafanya utafiti. Kwanza elewa tunatishana sana kuhusu ghorofa.. ..Wanabodi.
Mara nyingi mtu anapokuwa katika harakati za ujenzi, hupata mawazo mbalimbali kutoka kwa wataalamu wa ujenzi (mafundi), hii hupelekea kutokuwa na mueleko sahihi hata katika bajeti yake ya ujenzi na namna ya kupunguza gharama.
Mara kadhaa kumekuwa na maoni tofauti tofauti juu ya ujenzi wa ghorofa, kuna ambao husema ujenzi wa ghorofa moja la kawaida (nyumba ya makazi) si gharama kama inavyosemwa na watu malimbali, na wataalamu huenda mbali zaidi kuwa ghorofa moja si lazima kumwaga jamvi ili kupunguza gharama za ujenzi.
Wataalamu naomba mtoe ushauri, Je ni kweli si lazima kwamwaga jamvi kwenye ground floor kwa ujenzi wa ghorofa moja ya nyumba ya makazi?
Ushauri wenu ni muhimu sana katika jukwaa hili ili kutuongezea uelewa.
Karibuni
Bongo watu wengi waongo hasa aliyefanya Jambo flaniNdugu yangu,mimi hii ni ndoto yangu kujenga ghorofa, nimefanya utafiti wa kina miaka kama 6 hivi nafanya utafiti. Kwanza elewa tunatishana sana kuhusu ghorofa.. ..
Ghorofa moja ya makazi kama hiyo ambayo unamanisha haina haja ya kuweka mawe na kumwaga zege(Germany concrete).. hii niliambiwa na mtaalamu kabisa na anajenga sana hizi ghorofa na nimefika site zake mara kadhaa, pili matumizi ya nondo wanadanganya sana,watu wengi hawaelewi, nondo zinazoweza kutumika zinaweza kuwa mm12, mm10, mm16 na mm 8, ila wengi utasikia lazima mm16 kwenye nguzo..uongo. Unaweza tumia mm12 ila kwenye kusuka wataweka nondo 6, ukitumia mm16 wataweka nondo 4, slab ni mm12 zinatumika, mm10 utatumia kama rings. Ila pia kuna muda wanaangalia na ardhi ikoje ndo watoe budget, kama eneo tambalale halina maji maji ardhi kama ya siyo mfinyanzi hapo unaweza jikaza tu, cha msingi kaa na mtaalam mpe wazo lako mchore ramani na makadirio yote. Siyo hivyo wanavyosema walimwengu japo pesa inatembea kidogo.
Asante sana Kiongozi! mpaka sasa mchoro wangu umeshapitishwa na Manispaa, sasa najilusanya kuanza hilo jambo.Ndugu yangu,mimi hii ni ndoto yangu kujenga ghorofa, nimefanya utafiti wa kina miaka kama 6 hivi nafanya utafiti. Kwanza elewa tunatishana sana kuhusu ghorofa.. ..
Ghorofa moja ya makazi kama hiyo ambayo unamanisha haina haja ya kuweka mawe na kumwaga zege(Germany concrete).. hii niliambiwa na mtaalamu kabisa na anajenga sana hizi ghorofa na nimefika site zake mara kadhaa, pili matumizi ya nondo wanadanganya sana,watu wengi hawaelewi, nondo zinazoweza kutumika zinaweza kuwa mm12, mm10, mm16 na mm 8, ila wengi utasikia lazima mm16 kwenye nguzo..uongo. Unaweza tumia mm12 ila kwenye kusuka wataweka nondo 6, ukitumia mm16 wataweka nondo 4, slab ni mm12 zinatumika, mm10 utatumia kama rings. Ila pia kuna muda wanaangalia na ardhi ikoje ndo watoe budget, kama eneo tambalale halina maji maji ardhi kama ya siyo mfinyanzi hapo unaweza jikaza tu, cha msingi kaa na mtaalam mpe wazo lako mchore ramani na makadirio yote. Siyo hivyo wanavyosema walimwengu japo pesa inatembea kidogo.
Gharama zinategemeana na eneo na aina ya mchoro pia, mfano anayejenga Morogoro,Tanga au Pwani ni tofauti na anayejenga Dar es salaam mfano, me nimejenga Pwani,mlandizi roli moja dogo la mawe yale yameandikwa M3 pembeni ni laki 3, wakati Dar itakuwa bei kubwa zaidi ya hiyo,, mchanga roli kama hilo ni elf 80,kokoto laki320, hata kifusi cha udongo elf 50. Tofali za inch 6 wanauza 1200 moja mpk site. Za inch 5 ni 900 mpaka site, so unaona tofauti hapo, cement na nondo kwa pwani na Dar ndo zinafanana bei..Shida inaanzia pale mtu anapotaka kujenga kitu chenye muonekano wa gharama kuuubwa lakini (here is thecatch) bila ya kutumia hiyo gharama kubwa🤔.
Naamini inawezekana ila ni kwa gharama gani tujiulize.
Ukifuatilia comment utagundua hata sina nilijualo kuhusu ujenzi wa ghorofa, 😂😂😂