Bhakusyobhile
Member
- Aug 1, 2018
- 65
- 198
Mkuu achana na vitisho vya waliokalili,hiyo chombo imetulia sana huwezi fananisha na akina rav4 sijui kluger, suspension yake iko vizuri sanaKwenye baadhi ya thread wana JF wamelalamika kuwa gari hii vipuli vyake ni ghali!!,Je kuna udhaifu mwingine wa gari hii? ikiwa utazingatia service kwa wakati??Nataka niagize gari hii kwa ajili ya kazi zangu huko Mbeya (vijijin) na Mahenge (Morogoro).
sijutii kuinunua hii MASHINE👏Mkuu achana na vitisho vya waliokalili,hiyo chombo imetulia sana huwezi fananisha na akina rav4 sijui kluger, suspension yake iko vizuri sana
Umeona ila wabongo wanapenda kutisha watu sana,kitu hawakijui ila maneno mengi na vitisho tu,sijutii kuinunua hii MASHINE👏