Lipi ni tatizo lingine la Honda CRV(RD5)?

Lipi ni tatizo lingine la Honda CRV(RD5)?

Bhakusyobhile

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
65
Reaction score
198
Kwenye baadhi ya thread wana JF wamelalamika kuwa gari hii vipuli vyake ni ghali!!,Je kuna udhaifu mwingine wa gari hii? ikiwa utazingatia service kwa wakati? Nataka niagize gari hii kwa ajili ya kazi zangu huko Mbeya (vijijin) na Mahenge (Morogoro).
 
Kwenye baadhi ya thread wana JF wamelalamika kuwa gari hii vipuli vyake ni ghali!!,Je kuna udhaifu mwingine wa gari hii? ikiwa utazingatia service kwa wakati??Nataka niagize gari hii kwa ajili ya kazi zangu huko Mbeya (vijijin) na Mahenge (Morogoro).
Mkuu achana na vitisho vya waliokalili,hiyo chombo imetulia sana huwezi fananisha na akina rav4 sijui kluger, suspension yake iko vizuri sana
 
Kuna watu,

Kipindi fulani ziliwasumbua kama xtrail. Na hii ni kutokana na kwamba, hawakuweza kuzingatia service ya gari.

Huwa zinahitaji service katika muda wake, ukizingatia hapo, basi utaifurahia.

Kuna jamaa ana huduma ya kulipia ushuru, hiyo kama budget yako imebana na inatosha tu kulipia cif, basi nenda kalipie mwenyewe bank kwemye account ya kamoumi unayotaka kuagizia, usiwaze ..ninaweza kukutafutia mawasiliano yake, ..

Huwa wanamrejeshea kwa awamu mbili baada ya kukabidhiwa chombo
 
Back
Top Bottom