Bhakusyobhile
Member
- Aug 1, 2018
- 65
- 198
Kwenye baadhi ya thread wana JF wamelalamika kuwa gari hii vipuli vyake ni ghali!!,Je kuna udhaifu mwingine wa gari hii? ikiwa utazingatia service kwa wakati? Nataka niagize gari hii kwa ajili ya kazi zangu huko Mbeya (vijijin) na Mahenge (Morogoro).