Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
u wanna say 😅😅😅😅😅 wanawake tuna ujasiriLabda inakuwa shida ya ngozi na ana mwanamke usidhan hana kila mtu hupata wa kufanana nae
Hata mimi sijalifahamu hilo, imeanza??Kumbe Ramadan imeanza.sijajua hilo
Sasa mkuu mbona umeweka picha ya maziwa badala ya chai??Na boda boda akakubali kafunga ramadhan
Pole sanaa tatizo hilo latibika wasiliana nami kupata tiba yakeNimewahi kukutana na kuishi na watu wenye harufu kali, harufu ambayo hata nguo zao zikifuliwa kwa sabuni ya kipande inaendelea kubaki kwenye nguo zao, lakini leo nimepanda boda aisee, yule boda miwili wake una harufu kali sana.
Nikamuuliza vipi dogo umekesha nini akasema hapana ndio kaingia mzigoni asubuhi. Nikamuuliza hivi umefunga Ramadhani? Akasema ndio. Ukifunga si unajua masharti yake, usitongoze wala kutamani wadada, usivute bangi, usioge mpaka ufuturu.
Dogo bila kujua kuwa nilikuwa namvuta nimuulize kama ameoga akaingia kwenye 40 zangu. Kasema mbona nimeoga leo na kila nikifunga lazima nioge asubuhi.Saa 10 kijana anaproduce harufu kali mno na ameoga.
Wataalamu wanasema ni dalili za mtu kuwa na pepo wakali ndani yake, wengine wanasema ni genetic issues.
Ukiwa na harufu kali ni heri usioe au kuolewa. Utamtesa mwenzi wako kitandani. Wataalamu muje mutueleze suluhisho la kudumu la hili tatizo la kunuka mwili.