Lipi suluhisho la kudumu kwa mtu mwenye harufu kali ya mwili?

Labda inakuwa shida ya ngozi na ana mwanamke usidhan hana kila mtu hupata wa kufanana nae
u wanna say πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wanawake tuna ujasiri

me nikishakutana na mtu ananuka kikwapa namvua mataji yote πŸ™ŒπŸΎ
 
Mwambie aogee majani ya kivumbasi mabichi ayaloweke kwenye maji anayoogea

Inakata harufu Sana
Ata akiamua ajisugue nayo

Yana harufu nzur na yanaua vibacteria vya ngozi wanaosababisha harufu Kali

Njia ya pili atumia ndimu ama limao
Akamalie kwenye maji yakuoga na Kisha baada ya kuoga ajisugulie makwapani na sehemu nyeti

Ni nzuri Sana hizo dawa labda ye mwenyewe tu atake kunuka
 
Pole sanaa tatizo hilo latibika wasiliana nami kupata tiba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…