Lipo MUHIMU? Lissu anyongwe au Samia afike mahakamani kumtetea?

Lipo MUHIMU? Lissu anyongwe au Samia afike mahakamani kumtetea?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Rais ni amiri jeshi mkuu anae WAJIBIKA raia wake wanaidhi vyema na hawafai kijinga jinga.

Leo hii Lissu anakesi ya kujibu, Rais wake anatakiwa aje adhibitidhe km ni kweli au la, mawakili wa UMMA mnaweka vikwazo
Je LIPI MUHIMU?
Lissu kunyongwa au Samia kuja mahamakani?
 
Itachezeshwa mpaka apewe kifungo cha maisha.. Hilo ndio lengo lao
 
Back
Top Bottom