Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,490
- 38,302
Heshima kwenu wanajamvi.
Sasa ni wazi Dangote kaamua kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu,Kenya.
Tanzania tuko busy kupambana na siasa mbovu.
Siasa zetu za ndani hazivutii uwekezaji mkubwa,labda kuuza au kukodisha Bandari au uendeshaji wa mwendokasi.
Tayari Dangote keshatujua ndani nje aina ya siasa zetu za ndani hazina maana.Maneno haya yaliwahi kutamkwa na aliyekuwa Makamu wa Rais Dr Nchimbi.
Athari zake ndio tunaanza kuziona.Ajira zaidi ya vijana 6,000 zimeenda Kenya.
Ngongo kwasasa Lamu,Kenya.