Gentleman,Heshima kwenu wanajamvi.
Sasa ni wazi Dangote kaamua kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu,Kenya.
Tanzania tuko busy kupambana na siasa mbovu.
Siasa zetu za ndani hazivutii uwekezaji mkubwa,labda kuuza au kukodisha Bandari au uendeshaji wa mwendokasi.
Tayari Dangote keshatujua ndani nje aina ya siasa zetu za ndani hazina maana.Maneno haya yaliwahi kutamkwa na aliyekuwa Makamu wa Rais Dr Nchimbi.
Athari zake ndio tunaanza kuziona.Ajira zaidi ya vijana 6,000 zimeenda Kenya.
Ngongo kwasasa Lamu,Kenya.
Wabongo mnapenda kubweka ujinga.Heshima kwenu wanajamvi.
Sasa ni wazi Dangote kaamua kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu,Kenya.
Tanzania tuko busy kupambana na siasa mbovu.
Siasa zetu za ndani hazivutii uwekezaji mkubwa,labda kuuza au kukodisha Bandari au uendeshaji wa mwendokasi.
Tayari Dangote keshatujua ndani nje aina ya siasa zetu za ndani hazina maana.Maneno haya yaliwahi kutamkwa na aliyekuwa Makamu wa Rais Dr Nchimbi.
Athari zake ndio tunaanza kuziona.Ajira zaidi ya vijana 6,000 zimeenda Kenya.
Ngongo kwasasa Lamu,Kenya.
Heshima kwenu wanajamvi.

Umewahi kutafakari kauli ya Katibu wa Organization wa CCM Ndugu Chacha kuhusu CCM kumiliki vyombo vyote vya dola ?.Gentleman,
nadhani Dangote ana uhuru wa kujenga kiwanda kama hicho hata Comoro au maeneo mengine Africa kadiri apendevyo yeye, nadhani sio lazima ajenge Tanzania 🐒
Sasa hapa umeandika nini nonsenseWabongo mnapenda kubweka ujinga.
Nyie ndio mnaoabudu maghorofa ya wageni.
Philip Emeagwali ni mwanasayansi na mhandisi wa kompyuta mwenye asili ya Nigeria, anayejulikana hasa kwa kazi zake katika high-performance computing na matumizi ya kompyuta nyingi kwa wakati mmoja.Dangote usimuamini sana
Kama ameweza kuwa tajiri Africa na anatokea Nigeria basi muogope sana