Lipumba amekua Mwenyekiti wa CUF miaka 26, Mbowe wa CHADEMA miaka 17, Zitto wa ACT Wazalendo miaka 7, Jumla miaka 50

Sio sio mwenyekiti, ni zaidi ya mwenyekiti. Zitto yuko juu ya mwenyekiti maana yake yeye ndie mmiliki wa chama, chama ni mali yake.

Zitto ni kiongozi mkuu wa chama na pia mshauri mkuu wa chama. Sasa kama chama kina mwenyekiti na bado kuna kiongozi mkuu huyo mwenyekiti ana kazi gani?
Soma katiba yao kilammoja anamajukumu yake acha kulazimisha mambo zito siomwenyekiti wachama elewa au unataka kutafsiri kama bibilia?
 
Ku
Vyama vya upinzani tunapokua tunalilia demokrasia hapa Tanzania huwa tuna maana gani iwapo kwenye vyama vyetu tu hatuna demokrasia.

Leo viongozi wa vyama vya siasa Tanzania wana combined leadership period of more than 50 years. Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha mada hapo juu, Lipumba alipewa uwenyekiti wa CUF mwaka 1995, Mbowe alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mwaka 2004, Zitto alijiteua kuwa kiongozi mkuu na mshauri mkuu (Supreme Leader and Chief Advisor) wa ATC Wazalendo mwaka 2014. Jumla ni miaka 50 na ushee. Sijataka kuunganisha miaka ya Rungwe, Mbatia, Mrema na wengine.

Viongozi hao wao kuwa viongozi wa maisha kwenye vyama vyao ni sawa ila CCM ilichaguliwa na wanachi kuendelea kutawala nchi hii inakua nongwa. Unajiuliza, sasa kama maana demokrasia ni kuchaguana na kuchaguliwa, ndio maana hao viongozi wanachaguliwa na wanachama wao, (Zitto Hachaguliwi wala hapigiwi kura) kuendelea kua viongozi, kwa nini watanzania wakiichagua CCM kuendelea kuwatumikia inakua nongwa?

Huwa najiuliza hivi hawa jamaa kweli wana nia njema na demokrasia ya nchi hii? Mfano Zitto amejipa cheo kisichokua na uchaguzi, yeye ndie mkuu wa chama na mshauri mkuu wa chama, hachaguliwi wala hapigiwi kura, uchaguzi ukiitwa wanachaguliwa wengine ila sio yeye Supreme Leader lakini at the same time CCM wakichaguliwa(angalau basi uchaguzi unakuwepo) inakua nongwa.

Binafsi naamini kuyumba kwa demokrasia nchi hii kunachangiwa sana na viongozi wa vyama vyetu hivi vya siasa kua na tamaa ya uongozi na kutokua ama kuruhusu demokrasia kwenye vyama vyao huku wakitaka demokrasia ya kweli nchini.

Vyama vya siasa, onyesheni demokrasia kwa vitendo ndani ya vyama vyenu. Acheni kuendesha vyama vya siasa ki gangstar ama mafia style kwamba boss mpya atapatikana baada ya kifo cha boss aliekuwepo.
Kujumlisha ulivyofanya imenishtua kwamba nasoma andiko la mjinga, acha hayo wewe.
 
Unataka kusema for the last 17 years of Mbowe Leadership, The party has no or has not groomed a known, reputable and proper replacement? Is that a political party or a family party?

Anyway, one more question, what if Mbowe dies today or tomorrow and there is no proper, reputable and known replacement, will Chadema still exist or it will die with him?
If you talk about death that another reason, but for the time being, Mbowe is still the best when comparing to others, no messing around.

Above all, learn to respect decions of the majority, Mbowe's position is not a sultanate, that's the bitter pill of democracy, just take it no way out.
 
Vyama vya upinzani tunapokua tunalilia demokrasia hapa Tanzania huwa tuna maana gani iwapo kwenye vyama vyetu tu hatuna demokrasia.

Leo viongozi wa vyama vya siasa Tanzania wana combined leadership period of more than 50 years. Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha mada hapo juu, Lipumba alipewa uwenyekiti wa CUF mwaka 1995, Mbowe alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mwaka 2004, Zitto alijiteua kuwa kiongozi mkuu na mshauri mkuu (Supreme Leader and Chief Advisor) wa ATC Wazalendo mwaka 2014. Jumla ni miaka 50 na ushee. Sijataka kuunganisha miaka ya Rungwe, Mbatia, Mrema na wengine.

Viongozi hao wao kuwa viongozi wa maisha kwenye vyama vyao ni sawa ila CCM ilichaguliwa na wanachi kuendelea kutawala nchi hii inakua nongwa. Unajiuliza, sasa kama maana demokrasia ni kuchaguana na kuchaguliwa, ndio maana hao viongozi wanachaguliwa na wanachama wao, (Zitto Hachaguliwi wala hapigiwi kura) kuendelea kua viongozi, kwa nini watanzania wakiichagua CCM kuendelea kuwatumikia inakua nongwa?

Huwa najiuliza hivi hawa jamaa kweli wana nia njema na demokrasia ya nchi hii? Mfano Zitto amejipa cheo kisichokua na uchaguzi, yeye ndie mkuu wa chama na mshauri mkuu wa chama, hachaguliwi wala hapigiwi kura, uchaguzi ukiitwa wanachaguliwa wengine ila sio yeye Supreme Leader lakini at the same time CCM wakichaguliwa(angalau basi uchaguzi unakuwepo) inakua nongwa.

Binafsi naamini kuyumba kwa demokrasia nchi hii kunachangiwa sana na viongozi wa vyama vyetu hivi vya siasa kua na tamaa ya uongozi na kutokua ama kuruhusu demokrasia kwenye vyama vyao huku wakitaka demokrasia ya kweli nchini.

Vyama vya siasa, onyesheni demokrasia kwa vitendo ndani ya vyama vyenu. Acheni kuendesha vyama vya siasa ki gangstar ama mafia style kwamba boss mpya atapatikana baada ya kifo cha boss aliekuwepo.
Ebu nambie ungeliweka mtu Kama Mwambe Chadema, Chadema ingelikuwepo? Hivi vyama viko katika kujijenga, wakibadirisha uongozi wa juu hivyo hovyo bila correct vetting vitakufa akija mtu Kama Magufuli.
Ni vema vikawa na tàhadhali kubwa kabla ya kubadili uongozi wa juu. Hiko chini badilisha tu....
 
Mkuu mbona hushangai ccm imeng'ang'ania miaka karibu 60 kutawala nchi hii kwani hakuna vyama vingine?
 
Kwa maslahi mapana ya demokrasio mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa CDM ,maana bila yeye na kuwekwa mwenyeketi mwenye "Njaa Njaa" mtaiua CDM ,ila kwa Mboewe mmegonga mwamba na hakika MWAMBA hajatetereka pamoja na kumfanyia hujuma ya kutaka mumfilisi ili aunge mkono juhudi.
Inawezekana upo sahihi, ila ndiyo kunajisi definition ya demokrasia.......japo kwa upande fulani nadhani ndiye mtu sahihi zaidi maana anakautulivu sana hakurupuki sana......ila wakipewa wanaharakati wengine watavurugana
 
Ebu nambie ungeliweka mtu Kama Mwambe Chadema, Chadema ingelikuwepo? Hivi vyama viko katika kujijenga, wakibadirisha uongozi wa juu hivyo hovyo bila correct vetting vitakufa akija mtu Kama Magufuli.
Ni vema vikawa na tàhadhali kubwa kabla ya kubadili uongozi wa juu. Hilo chini badilisha tu....
Vyama vinanijenga miaka 30?

Miaka 30 bado vyama havijaandaa succession plan ya kupata future leaders hadi mtu mmoja awe chairman miaka 20 au zaidi?

Kwa jicho pana la kidemokrasia, hii inarusisha nyuma demokrasia kuliko kuijenga.
 
Vyama vya upinzani tunapokua tunalilia demokrasia hapa Tanzania huwa tuna maana gani iwapo kwenye vyama vyetu tu hatuna demokrasia.

Leo viongozi wa vyama vya siasa Tanzania wana combined leadership period of more than 50 years. Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha mada hapo juu, Lipumba alipewa uwenyekiti wa CUF mwaka 1995, Mbowe alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mwaka 2004, Zitto alijiteua kuwa kiongozi mkuu na mshauri mkuu (Supreme Leader and Chief Advisor) wa ATC Wazalendo mwaka 2014. Jumla ni miaka 50 na ushee. Sijataka kuunganisha miaka ya Rungwe, Mbatia, Mrema na wengine.

Viongozi hao wao kuwa viongozi wa maisha kwenye vyama vyao ni sawa ila CCM ilichaguliwa na wanachi kuendelea kutawala nchi hii inakua nongwa. Unajiuliza, sasa kama maana demokrasia ni kuchaguana na kuchaguliwa, ndio maana hao viongozi wanachaguliwa na wanachama wao, (Zitto Hachaguliwi wala hapigiwi kura) kuendelea kua viongozi, kwa nini watanzania wakiichagua CCM kuendelea kuwatumikia inakua nongwa?

Huwa najiuliza hivi hawa jamaa kweli wana nia njema na demokrasia ya nchi hii? Mfano Zitto amejipa cheo kisichokua na uchaguzi, yeye ndie mkuu wa chama na mshauri mkuu wa chama, hachaguliwi wala hapigiwi kura, uchaguzi ukiitwa wanachaguliwa wengine ila sio yeye Supreme Leader lakini at the same time CCM wakichaguliwa(angalau basi uchaguzi unakuwepo) inakua nongwa.

Binafsi naamini kuyumba kwa demokrasia nchi hii kunachangiwa sana na viongozi wa vyama vyetu hivi vya siasa kua na tamaa ya uongozi na kutokua ama kuruhusu demokrasia kwenye vyama vyao huku wakitaka demokrasia ya kweli nchini.

Vyama vya siasa, onyesheni demokrasia kwa vitendo ndani ya vyama vyenu. Acheni kuendesha vyama vya siasa ki gangstar ama mafia style kwamba boss mpya atapatikana baada ya kifo cha boss aliekuwepo.
Hizo hesabu no za kwako wewe na wakwe zako🤭🤭🤭
 
Kwanza hujui hisabati,50 inakujaje katika mantiki hii?

Kumbe CCM ndiko kumejaa maboga.
 
Kwahiyo kuanzia mwaka 1995 hadi leo ni miaka 50? Ulikuwa na hoja Nzuri lakin kwenye calculation za miaka umepuyanga.
 
Mh! Mbona naona kama unao UNAZI ndani ya chapisho leko mleta Hoja?

Zitto hajawahi kuwa mwenyekiti wa chama chochote tangia siasa cha vyama vingi ziingie Nchini.
Labda unayo Nchi yako ya kufikirika.
 
Kwa maslahi mapana ya demokrasio mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa CDM ,maana bila yeye na kuwekwa mwenyeketi mwenye "Njaa Njaa" mtaiua CDM ,ila kwa Mboewe mmegonga mwamba na hakika MWAMBA hajatetereka pamoja na kumfanyia hujuma ya kutaka mumfilisi ili aunge mkono juhudi.
Ina maana ndani ya Chadema pale nje Mbowe hakuna mwenye uwezo wakuwa Mwenyekiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Provided anapigiwa kura na wanaomuamini, na hata maneno na matendo yake bado ni msingi wa kukiimarisha chama, Mbowe is there to stay, until further notice.

We can't change a leader for petty reasons like staying more than ten years his brain is up, or change for the sake of it without having a known, reputable, and proper replacement.
Tumpe Lissu chama au Lema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom