Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ushahidi huo wa maandishi na wa video umerahisisha sana maamuzi ya MahakamaLipumba hivi amesoma sana akawehuka au? Mbona ma prof wa TZ ni kama machizi?
Kaandika barua mwenyewe kujiuzulu alafu saizi anang'ang'ana kurudia kiti? Aende huko Lumumba walipomsajili waanze kumpa buku saba zake na yeye.
Kwa nini tarehe ya hukumu iwe mbali hvyo? Na ww mleta mada ungekaa kimya tu.. Sasa uzi huu utasababisha jiwe aagize kabundi na bashite kufanya namna ili kubadili hukumu. Unaeza sikia jaji hajulikani alipoHizi ni habari nilizopenyezewa na mtu wa jikoni kwamba Msaliti Lipumba kishaangukia pua Mahakamani , tusubiri tu hiyo Jan 15 ambayo imetajwa kusomwa hukumu ya kesi yake.
Niliwahi kumtahadharisha Francis Mutungi kwamba Maalim Seif hajawahi kushindwa na Wasaliti kuanzia Mapalala na hawa wengine lakini akapuuza , sasa kwa aibu hii anaenda kupoteza hata hii kazi ya Usajili wa Vyama vya siasa .
Mytake : Shetani hajawahi kumshinda Mungu .
Haihitaji hata mtu awe na ujuzi wa sheria kuhukumu kesi kama hiyo. Common sense tu.Ushahidi huo wa maandishi na wa video umerahisisha sana maamuzi ya Mahakama
Kwenye kesi hii kumbeba Lipumba ni sawa na kuamua makusudi kujinyea katikati ya sokoKwa nini tarehe ya hukumu iwe mbali hvyo? Na ww mleta mada ungekaa kimya tu.. Sasa uzi huu utasababisha jiwe aagize kabundi na bashite kufanya namna ili wabadili hukumu. Unaeza sikia jaji hajulikani alipo
Hahaaahaaaaaaa..........😀😀Kwenye kesi hii kumbeba Lipumba ni sawa na kuamua makusudi kujinyea katikati ya soko
Hilo ndio lilikuwa lengo lao , lakini wameshindwa vibaya sana !Hata akivuliwa Cuf imeshajifia zamani hawana jipya tena labda huko Zanzibar,bora hata sisi Tadea
Alitumwa kule cuf kufanya kazi ya ccmLipumba hivi amesoma sana akawehuka au? Mbona ma prof wa TZ ni kama machizi?
Kaandika barua mwenyewe kujiuzulu alafu saizi anang'ang'ana kurudia kiti? Aende huko Lumumba walipomsajili waanze kumpa buku saba zake na yeye.
Wenye laana kuu ni wewe na kizazi chako walahiAna laana kama Jiwe!
Kwa ccm ilipofikia hili linawezekana tuNi zamu ya Mtatiro kurudi na kukomalia ukaimu
Hakika Mwenyekiti wako hizo sifa anazitendea haki!!Wenye laana kuu ni wewe na kizazi chako walahi View attachment 952328
Kwa bara wamefanikiwa ila Zanzibar nadhani ningumu kiasiHilo ndio lilikuwa lengo lao , lakini wameshindwa vibaya sana !