The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,080
- 2,026
CCM wana mikakati mirefu sana, kabla ya kuanzisha jambo kama hili wanajua changamoto na urahisi wa jambo lenyewe. Pia wanajua fika litawafikisha wapi na watakua washatimiza lengo lao kiasi gani. Lipumba alihitaji kutumika kwa kipindi fulani. Kipindi hicho itakua tayari CUF imekufa. Hata wakirudishiwa uongozi itakua ni ghorofa lilikongoroka foundation. So mshindi hapa sio CUF, CUf ni looser kwenye hili