Tetesi: Lipumba avuliwa Uenyekiti wa CUF , kuahirisha hukumu ni kuchelewesha aibu yake na swahiba wake Mutungi

Tetesi: Lipumba avuliwa Uenyekiti wa CUF , kuahirisha hukumu ni kuchelewesha aibu yake na swahiba wake Mutungi

Wenye laana kuu ni wewe na kizazi chako walahi View attachment 952328
Unaweza kujua na masikini wa uongo na roho mbaya kati ya jiwe na mzalendo slary View attachment VID-20181201-WA0001.mp4View attachment 20181128_2151141535340.mp4View attachment 20181129_2255251724791.mp4
Screenshot_2018-11-29-22-58-20.jpeg
 
Unamvurugia maalim sef unwawahi kivujisha habari kabla ya tamko rasmi
 
Kuna mengine hayawezekani hata upewe mwama mzima
Kwa nini tarehe ya hukumu iwe mbali hvyo? Na ww mleta mada ungekaa kimya tu.. Sasa uzi huu utasababisha jiwe aagize kabundi na bashite kufanya namna ili kubadili hukumu. Unaeza sikia jaji hajulikani alipo
 
Ila its too late and the objective has been achieved. Kwa wenye akili mtanielewa.
 
Haa haa haa et kumbeba lipumba sawa na kujinyea makusud sokon
Ukimtupa chura umempunguzia mwendo. Siku Mahakama ikitoa hukumu dhidi ya Prof. Lipumba kesho yake atateuliwa Balozi.
 
Kwa bara Cuf haina nguvu tena hilo lipo wazi halihitaji utafiti,chadema imetake over
kabla ya 2015 ilikuwa na wabunge wangapi na sasa ina wabunge wangapi , hata ukiondoa hao wasaliti waliojiuza ?
 
Hizi ni habari nilizopenyezewa na mtu wa jikoni kwamba Msaliti Lipumba kishaangukia pua Mahakamani , tusubiri tu hiyo Jan 15 ambayo imetajwa kusomwa hukumu ya kesi yake.

Niliwahi kumtahadharisha Francis Mutungi kwamba Maalim Seif hajawahi kushindwa na Wasaliti kuanzia Mapalala na hawa wengine lakini akapuuza , sasa kwa aibu hii anaenda kupoteza hata hii kazi ya Usajili wa Vyama vya siasa .

Mytake : Shetani hajawahi kumshinda Mungu .

View attachment 952288
Lipumba si m/kiti ispokua amekalia tu kiti, alishajivua uenyekiti kinachotakiwa ni mahakama kumuaondoa tu kwenye kiti alichokikalia kibabe.
 
Tunahakika gani ulichokiandika ni kweli na si kwa lengo la kupre-empty uamuzi huo wa Jan?
 
Akiwemo jiwe maana ni miongo hatari sana.
Alipoingia madarakani alisema kilo ya sukari aliikuta 5000 na akafanya jitihada ikahsuka mpk bei gani? Huu ni uongo.

Alisema hata Mungu atakwenda kumchagua akawe kiongozi WA malaika huko mbinguni. Huu si uongo?. Ukimnyooshea mwenzako kidole vyengine ujue vinakuelekea wewe.
Ushavurugwa.

Mitume hawajaambiwa kauli hiyo ni Mungu mmoja awe jiwe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye laana kuu ni wewe na kizazi chako walahi View attachment 952328
 
Back
Top Bottom