Tetesi: Lipumba avuliwa Uenyekiti wa CUF , kuahirisha hukumu ni kuchelewesha aibu yake na swahiba wake Mutungi

Hakika Mwenyekiti wako hizo sifa anazitendea haki!!
Mkuu hajitambui humwambia sana kabla ya kuposti chochote chuja kwanza ili usiumbuke lkn kwa vile kuna buku 7 hajui hilo. Mzomeee kidogo.
 
Hili la mapalala hulifahamu umechomekea tu kimahaba. Hujui msaliti ni nani. Ungezungumzia tu suala lake na lipumbavuh.but james mapalala no way.dhambi ya james mapalala ndo inayomtesa seif sasa

Hizi ni habari nilizopenyezewa na mtu wa jikoni kwamba Msaliti Lipumba kishaangukia pua Mahakamani , tusubiri tu hiyo Jan 15 ambayo imetajwa kusomwa hukumu ya kesi yake.

Niliwahi kumtahadharisha Francis Mutungi kwamba Maalim Seif hajawahi kushindwa na Wasaliti kuanzia Mapalala na hawa wengine lakini akapuuza , sasa kwa aibu hii anaenda kupoteza hata hii kazi ya Usajili wa Vyama vya siasa .

Mytake : Shetani hajawahi kumshinda Mungu .

View attachment 952288
 
Nafanya siasa kabla hujaanza kusoma shule
 
Kama dawa zimemaliza fanta urudi mirembe kwa ajili ya refill kijana!
 
Balozi bado zipo nyingi tu.....nchi ka Togo, Gabon anaweza pata huko
 
Hizi ni habari nilizopenyezewa na mtu wa jikoni kwamba Msaliti Lipumba kishaangukia pua Mahakamani , tusubiri tu hiyo Jan 15 ambayo imetajwa kusomwa hukumu ya kesi yake.

Niliwahi kumtahadharisha Francis Mutungi kwamba Maalim Seif hajawahi kushindwa na Wasaliti kuanzia Mapalala na hawa wengine lakini akapuuza , sasa kwa aibu hii anaenda kupoteza hata hii kazi ya Usajili wa Vyama vya siasa .

Mytake : Shetani hajawahi kumshinda Mungu .

View attachment 952288

I agree with you...

Hata bila tetesi, circumstantial evidence inaonesha huyu Pro - pesa na allies wake mambo hayajamwendea vyema huko mahakamani.....

Ingekuwa hivyo, Jiwe angeshampa cheo fulani cha uteuzi huyu mtu kama alivyofanya kwa Dr Wilbroad Peter Slaa....

Lakini, I am sure hakimu/jaji anayesimamia kesi hiyo ameshampa black and white zote Jiwe kuwa, ni ngumu kumbeba Propesa Lipumba....

Sasa, the only possible way ingalau kuficha aibu ni amri kutolewa na Jiwe dhidi ya hakimu ama jaji anayesimamia shauri hilo kucheleshwa hukumu as you said....
 
Back
Top Bottom