Mkuu hajitambui humwambia sana kabla ya kuposti chochote chuja kwanza ili usiumbuke lkn kwa vile kuna buku 7 hajui hilo. Mzomeee kidogo.Hakika Mwenyekiti wako hizo sifa anazitendea haki!!
Hivi TADEA wana wabunge wangapi bungeni?Hata akivuliwa Cuf imeshajifia zamani hawana jipya tena labda huko Zanzibar,bora hata sisi Tadea
Naona unalisema jiwe hapo!Wenye laana kuu ni wewe na kizazi chako walahi View attachment 952328
Serikali itakata rufaa[emoji23][emoji23][emoji23]Ushahidi huo wa maandishi na wa video umerahisisha sana maamuzi ya Mahakama
Hizi ni habari nilizopenyezewa na mtu wa jikoni kwamba Msaliti Lipumba kishaangukia pua Mahakamani , tusubiri tu hiyo Jan 15 ambayo imetajwa kusomwa hukumu ya kesi yake.
Niliwahi kumtahadharisha Francis Mutungi kwamba Maalim Seif hajawahi kushindwa na Wasaliti kuanzia Mapalala na hawa wengine lakini akapuuza , sasa kwa aibu hii anaenda kupoteza hata hii kazi ya Usajili wa Vyama vya siasa .
Mytake : Shetani hajawahi kumshinda Mungu .
View attachment 952288
Siyo lazima kuwa na wabunge Siasa ni imaniHivi TADEA wana wabunge wangapi bungeni?
Nafanya siasa kabla hujaanza kusoma shuleHili la mapalala hulifahamu umechomekea tu kimahaba. Hujui msaliti ni nani. Ungezungumzia tu suala lake na lipumbavuh.but james mapalala no way.dhambi ya james mapalala ndo inayomtesa seif sasa
Kwi! Kwi! Kwi!Siyo lazima kuwa na wabunge Siasa ni imani
Nafanya siasa kabla hujaanza kusoma shule
Mbona unakimbia kimbia huku na kule siukae ujenge hoja walahi?
Kuntu!Niliwahi kumtahadharisha Francis Mutungi kwamba Maalim Seif hajawahi kushindwa na Wasaliti
Tunajenga Tadea yetuKwi! Kwi! Kwi!
Kama dawa zimemaliza fanta urudi mirembe kwa ajili ya refill kijana!Hizi ni habari nilizopenyezewa na mtu wa jikoni kwamba Msaliti Lipumba kishaangukia pua Mahakamani , tusubiri tu hiyo Jan 15 ambayo imetajwa kusomwa hukumu ya kesi yake.
Niliwahi kumtahadharisha Francis Mutungi kwamba Maalim Seif hajawahi kushindwa na Wasaliti kuanzia Mapalala na hawa wengine lakini akapuuza , sasa kwa aibu hii anaenda kupoteza hata hii kazi ya Usajili wa Vyama vya siasa .
Mytake : Shetani hajawahi kumshinda Mungu .
View attachment 952288
mirembe nasikia kwa muda huu hawana nafasi mgonjwa wa mwisho kupokelewa alikuwa ni nabii tittoKama dawa zimemaliza fanta urudi mirembe kwa ajili ya refill kuja!
Kizibao habari za hapo mchamba wimaKama dawa zimemaliza fanta urudi mirembe kwa ajili ya refill kijana!