The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,080
- 2,026
Zaidi ya lipumba na Mutungi kudhalilika sidhani kama cuf imedhurika kwa lolote , mpaka sasa ina wabunge na madiwani wengi kuliko kabla ya 2015 .CCM wana mikakati mirefu sana, kabla ya kuanzisha jambo kama hili wanajua changamoto na urahisi wa jambo lenyewe. Pia wanajua fika litawafikisha wapi na watakua washatimiza lengo lao kiasi gani. Lipumba alihitaji kutumika kwa kipindi fulani. Kipindi hicho itakua tayari CUF imekufa. Hata wakirudishiwa uongozi itakua ni ghorofa lilikongoroka foundation. So mshindi hapa sio CUF, CUf ni looser kwenye hili
Zaidi ya lipumba na Mutungi kudhalilika sidhani kama cuf imedhurika kwa lolote , mpaka sasa ina wabunge na madiwani wengi kuliko kabla ya 2015 .
Hizi ni habari nilizopenyezewa na mtu wa jikoni kwamba Msaliti Lipumba kishaangukia pua Mahakamani , tusubiri tu hiyo Jan 15 ambayo imetajwa kusomwa hukumu ya kesi yake.
Niliwahi kumtahadharisha Francis Mutungi kwamba Maalim Seif hajawahi kushindwa na Wasaliti kuanzia Mapalala na hawa wengine lakini akapuuza , sasa kwa aibu hii anaenda kupoteza hata hii kazi ya Usajili wa Vyama vya siasa .
Mytake : Shetani hajawahi kumshinda Mungu .
View attachment 952288
Ana laana kama Jiwe!
mmevuta mibange nyie
Mtatiro ameshapokonywa ubongo wake umehifadhiwa kwenye pipa la taka pale Lumumba.Ni zamu ya Mtatiro kurudi na kukomalia ukaimu
wala hakuna walipofanikiwa
Kuna fuso zinasomba magodoro pale Buguruni , nenda kajionee anayehama .
Ebu tuliza pipe ya makalioni kwako.Mtatiro ameshapokonywa ubongo wake umehifadhiwa kwenye pipa la taka pale Lumumba.View attachment 952706
kabisa mkuuMtatiro ameshapokonywa ubongo wake umehifadhiwa kwenye pipa la taka pale Lumumba.View attachment 952706
Duuh hivi ndio wanavyofanywaMtatiro ameshapokonywa ubongo wake umehifadhiwa kwenye pipa la taka pale Lumumba.View attachment 952706
Ukumbuke maneno yako ya kejeli hata siku ya hukum usibadili toneKwenye kesi hii kumbeba Lipumba ni sawa na kuamua makusudi kujinyea katikati ya soko
someni hukumu basi , danadana za nini tena ?mmevuta mibange nyie