Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Walikuwa wanakadiria tu.Kuna majimbo hata hawakujihangaisha waliweka namba tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa wanakadiria tu.Kuna majimbo hata hawakujihangaisha waliweka namba tu.
Chile ilikuwaje?Duu! Hii iingie kwenye vituko vya karne! Ni kama nchi ya Chile miaka ya 1980!
Ilikuwa selection baadala ya election.Wizi wa mwaka 2020 umekuwa wa kijinga sana. Yaani zile kura za vituoni zilikuwa replaced zote na kura walizoamua kupiga wasimamizi wa NEC.
Maajabu ya uchaguzi yanaendelea, Lipumba akiwa anaongea na vyombo vya habari ameshangazwa na kitendo cha mgombea ubunge jimbo la Temeke kupitia chama anachokiongoza cha CUF, Zainab Mndolwa kuambulia kura sifuri kwenye kituo ambacho yeye na wana-familia saba walienda kupiga kura.
Lipumba amesema hiyo inamaanisha hata wizi ulivyofanyika hata aibu hawana kitu ambacho ni hatari na balaa kuliko Corona.
====
Idadi ya kura zilizotangazwa na Tume ya Uchaguzi kwa wagombea mbalimbali wa nafasi mbalimbali zina tofauti kubwa na uhalisia. Kwa mfano, mgombea ubunge wa jimbo la Temeke kwa tiketi ya CUF alipata kura sifuri (0) katika kituo ambacho yeye na wanafamilia yake ya watu 7 walipigia kura.
Aidha, ukichunguza matokeo ya uchaguzi kwa kuzingatia vyama utabaini kwamba matokeo yaliyotangazwa yalikuwa yameshapangwa, na hayatokani na yale ya wapiga kura. Mfano, rejea matokeo ya majimbo ya Dar es Salaam ya Mbagala, Temeke, Segerea na Ubungo. UBAKWAJI huu wa demokrasia ni kinyume na ibara ya 15 (1), ibara ya 16 (1) na ibara ya 17 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Aidha UBAKWAJI huu unakwenda kinyume cha maazimio mbalimbali ya kimataifa ambayo Tanzania kama Nchi imeyaridhia ikiwa ni pamoja na Azimio la Jumiya ya Madola la Harare la mwaka 1991 na itifaki ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Afrika.

Mkuu kura ni siri ya mtu anajua yeye aliempigia.Huyo mwenyewe ameshindwa kusema inaonekana ajajipigia kura ajiamini hata mwenyewe.
Hii hata ya bi. Kirembwe cha mtoto... huu ni ukopro matata kabisaaVituko hivi tunavipata GININGI TU. KWA MFALME BI KIREMBWE.
Mimi nikiingia Peponi nikakutana na Wa-CCM itanibidi nitoke tena nje niangalie mlangoni vizuri kumeandikwaje, isije ikawa nimejichanganya.Inawezekana kabisa wapinzani wamesalitiana wenyewe. Usije shangaa ukakutana na masela kibao wa CCM kwenye pepo ya kwanza wamekaa wanatabaruku na malaika kadha wa kadha.
Siasa hizi zinaishia hapa hapa duniani ndugu yangu. Huko mbele Rais ni mmoja tu na hakuna uchaguzi wala kampeni za kisiasa. Either you are in a cool place or hot place. Period.
Msihangaike na ya huku duniani mkasahau ya kule tunakoelekea. Luku vere.
Kama ziliharibika ulitaka zihesabike kura halali?