- Ninachosema ni kwamba Mzungu ajali mambo ya uongozi wa taifa lake ya taifa langu Africa hayamuhusu, uananihusu mimi mwananchi.
William
Mimi Siwezi kuitofautisha Familia ya huyu dada na Familia ya Mzee Jumanne aliyetaka Kutuuza kwa Waarabu, Thank God Nyerere was still alive, maana hii Familia sijui ingepewa nini kwa Kubadilishana na nchi yetu Labda Mavisima ya Mafuta LoL!
- CCM na Chadema wana katiba zao ambao sisi taifa hazituhusu, matatizo tuliyonayo Tanzania kutoheshimu sheria ya Jamhuiri hayana anything to do na katiba za vyama vyetu vya siasa of anani agombee na nani sigombee, hayo tuwaachie wao wenyewe yaani vyama vya siasa, otherwise sisi tujikite kwenye taifa, ambako sheria haiheshimiwi sana kama inavyotakiwa.
- Otherwise una hoja nzito sana bro!
William.
Linalpokuja suala la kuchakachua kura nalo halikuhusu, hao hao unaowaita wakoloni ndio wameleta muafaka Kenya na Zimbabwe ha hata hapa kwetu yakilipuka ni hao hao watakuja na hata hawa viongozi tunaochagua either kwa halali au kuchakachua mawazo yao yote yapo kwa mkoloni huyo unayemsema
Achana na Wamarekani.Ni wajinga tu na wachonganishi.
- Mkoloni hawezi kuniambia nani awe na nani asiwe kiongozi wangu, nilipo sasa haina anything to do na mawazo yangu.
William.
Wazungu wametufundisha kusoma na kuandika.
Wametuletea Magari, Computer, Umeme, Demokrasia, High Tech, Dini, Porno na taka nyingine.
Wanaendelea kututunza na hata jana Kikwete kajisifu jinsi anavyoongea na Wazungu.
Sasa, kusema eti Wazungu watuache wakati sisi wenyewe na Uvivu wetu huku tukiwa na Kiherehere ambacho haijulikani tutaishia kupata Mimba au Ukimwi kutoka kwa Wazungu, INAWEZEKANA?
Mbona Wachina walisema STOP na leo Wazungu ndiyo wanawapigia magoti?
Ukiona hivyo basi ujuwe kweli sisi tumelogwa au AISIFIAYE MVUA.....................
Unapomjibu mtu soma maelezo yake vizuri si kurukaruka. Ninaelewa ninachokisema na ndiyo maana nimesema kuwa hiyo sheria hakuihusu Standard Oil peke yake bali kampuni zote zenye tabia ya kuhodhi. Sasa kama hujui maana ya neno kuhodhi basi msamiati wako wa Kiswahili ni mdogo kuhodhi kiingereza chake ni monopoly. Hivyo hiyo hoja nilikwisha isema katika jibu langu. Pole sana.- Labda ukasome tena history, Anti Trust Act inatokana na monopoly za Standard Oil, iliyokuwa ikimilikiwa na familia ya huyu dada.
William.
Kwa hiyo mchina anajali hata kuliko mzungu mtanzania? Ukweli ni kuwa mtu yeyote anayekulisha wewe na familia yako ana haki ya kukuambia lolotye atakalo. Uhuru si bendera peke yake.
Amandla.......
Mkuu nataka kukuonyesha tatizo unalosema wewe kuhusu sheria kuwa sio tatizo halisi. tatizo halisi ni viongozi. Kwa mfano huu Mfano kiongozi anayeemaliza muda wake ndio sio tu sehemu ya tatizo bali ni chanzo cha tatizo..
Serikali inayoongozwa na JK ilirizika kuwa Mramba na chenge wana kesi ya kujibu. Serikali ya JK ilirizika kuwa wana hatia . Ndio maana serikali ya JK ikawashtaki. Kiserikali hawawezi kuwahukumu bali ni kuwapeleka mahakamani . Hapo nakubali. .
Je Kichama???? ambapo mwenyekiti ni JK hawa watu aliowashataki kwa nini kwenye chama chake aruhusu wagombee?????? Can u not see JK badala ya kuwa kiongozi anakuwa COMEDIAN.
Ushauri usio wa kinafiki wa kumpa JK si kumwambia tatizo ni sheria. Ushauri ni kumwambia jinsi aliavyodeal na mambo yeye ndio sehemu ya tatizo halisi
- Well ninachosema ni very simple kwamba huyu dada mzungu ajali mambo ya viongozi wa taifa lake, ya viongozi wa taifa langu aniachie mimi mwananchi wa Tanzania, na ita has nothing to do na yote hayo uliyosema hapo juu.
William.
- Well ninachosema ni very simple kwamba huyu dada mzungu ajali mambo ya viongozi wa taifa lake, ya viongozi wa taifa langu aniachie mimi mwananchi wa Tanzania, na ita has nothing to do na yote hayo uliyosema hapo juu.
William.
hujajibu swali bali unafanya usanii maana hata siku moja sijui kama umewahi kusema lolote lile kukemea ufisadi mkubwa ndani ya nchi yetu. Kama uliwahi kufanya hivyo hebu tupe ushahidi kama upo hapa jamvini katika mabandiko yako ya nyuma.
- Historia iko wazi kwamba hawakutaka kuondoka, ndio maana Mwalimu alienda UN kuwafukuza waondoke na waliondoka na tukawa huru!
William.
Unapomjibu mtu soma maelezo yake vizuri si kurukaruka. Ninaelewa ninachokisema na ndiyo maana nimesema kuwa hiyo sheria hakuihusu Standard Oil peke yake bali kampuni zote zenye tabia ya kuhodhi. Sasa kama hujui maana ya neno kuhodhi basi msamiati wako wa Kiswahili ni mdogo kuhodhi kiingereza chake ni monopoly. Hivyo hiyo hoja nilikwisha isema katika jibu langu. Pole sana.